Jamani kosa langu lipi hapa

Jamani kosa langu lipi hapa

Vijana wengi ukiwachukulia kifamilia hawakawii kukuudhi.
Mumeo alitakiwa kuwa ameliona hilo kwanza kabla yako wewe na kutafuta njia ya kulimaliza kistaarabu.

Wala huna haja ya kuchunguza msingi wa urafiki wake na mumeo, ulichofanya ni sahihi.
 
Huna kosa
Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi,

Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban
Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia
Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan
Kama wiki hivi, nimemleta mtoto wa dada angu anisaidie majukum ana 17yrs
Sasa huyu kijana alivyoona kuna mtu nyumban akawa anakuja nyumban saa 12 anakaa mpaka tunamkuta usiku,
Mimi nilichofanya nimemwambia asiwe anakuja kukiwa nawatoto peke yao maana yupo bint huyu na mtoto wangu wa 7yrs, awe anasubir mimi nirudi au awasiliane na rafiki yake waje nae sababu hapa kuna mtoto wakike dunia haieleweki hii
Kachukia kanishataki kwa jamaa, mume wangu kanuna et ninaroho mbaya sitaki huyu kaka aje kula
Wakati mimi nimemwambia awasiliane na rafiki yake ambae ni mme wangu waje pamoja maana wanafanya kazi pamoja et nimekosea?
 
Kiukweli angekataa sababu jamaa akisafir hua anakuja kunisubir dukan twende wote nyumban nikapike ale then aondoke, nikamwambia jamaa amwambie kua sio tabia nzuri mimi sio mke wake ni bora awe anakuja jamaa akiwepo ...alikuja juu safar hii nikajilipua
Unamwitaje mume wako "jamaa"

How comes?

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Hivi Kuna wanaume wanaonuna! Mwambie mumeo aache ufala huo.

Na wewe marafiki wa mumeo uwe unamwambia mumueo adili nao.
 
Uko sahihi nadhani hao watu wapo negative tu akili zao huwa zipo tayari kusikia habari za kuwa sifia tu wakati wote
 
Kiukweli angekataa sababu jamaa akisafir hua anakuja kunisubir dukan twende wote nyumban nikapike ale then aondoke, nikamwambia jamaa amwambie kua sio tabia nzuri mimi sio mke wake ni bora awe anakuja jamaa akiwepo ...alikuja juu safar hii nikajilipua
Duhh!!! Huyo jamaa yako Ni mtu wa wapi !? Na ana umri gani !? Pia uwezo wake wa kufikiri ukoje !?
 
Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi,

Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban
Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia
Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan
Kama wiki hivi, nimemleta mtoto wa dada angu anisaidie majukum ana 17yrs
Sasa huyu kijana alivyoona kuna mtu nyumban akawa anakuja nyumban saa 12 anakaa mpaka tunamkuta usiku,
Mimi nilichofanya nimemwambia asiwe anakuja kukiwa nawatoto peke yao maana yupo bint huyu na mtoto wangu wa 7yrs, awe anasubir mimi nirudi au awasiliane na rafiki yake waje nae sababu hapa kuna mtoto wakike dunia haieleweki hii
Kachukia kanishataki kwa jamaa, mume wangu kanuna et ninaroho mbaya sitaki huyu kaka aje kula
Wakati mimi nimemwambia awasiliane na rafiki yake ambae ni mme wangu waje pamoja maana wanafanya kazi pamoja et nimekosea?
Wewe ulitakiwa umueleweshe mumeo
 
Back
Top Bottom