Jamani mpeni Tundu Lissu PHD ya heshima jinsi alivyomwelezea vizuri Mwalimu Nyerere huko Uganda

Wote hao hamna anayemfikia Lissu.

Kabudi angekuwa anasimamia ukweli at least ila hao Makamba na Polepole ni watu wanaojua kupiga mdomo tu. Hawana smartness yeyote ile.
Uwezi mfananisha makamba na Polepole...mmoja ni mwizi wa mali za Uma na mtihani wa kidato cha nne...nwingine ni mzalendo kweli kweli
 
Uwezi mfananisha makamba na Polepole...mmoja ni mwizi wa mali za Uma na mtihani wa kidato cha nne...nwingine ni mzalendo kweli kweli
Wote walewale tu! Kupenda sifa na kujiona wanajua ila hawanaga cha maana
 
Huwa nashangaa wanaompigia chapuo January Makamba kuwa Rais, huwa naukiza wapi wamewahi kumsikia akitoa hotuba yoyote kuhusu chochote kinachohusu jamii? Bashe, Mpina ni bora zaidi kwa upande wa CCM.
 
Nchi hii ya machawa???
 
Hebu nisaidie link mkuu
 
Huwa nashangaa wanaompigia chapuo January Makamba kuwa Rais, huwa naukiza wapi wamewahi kumsikia akitoa hotuba yoyote kuhusu chochote kinachohusu jamii? Bashe, Mpina ni bora zaidi kwa upande wa CCM.
Makamba ni hovyo sana na ni fisadi mkubwa!
 
Nadhani kidogo Prof Kabudi Palamagamba, January Makamba na Humphrey Polepole..
Hapo kwa Makamba ni UONGO, lini na wapi ushawahi sikia hotuba yake ukilinganisha na hao wawili hapo. Unaweza share hapa tumsikilize.
 
Kisa kaongea kingereza au
 
Zitafute hotuba alizokuwa anatoa kwenye Bunge la Katiba kumhusu Nyerere na alivyokuwa akimtuna na kumdhalilisha ndio utajua kwamba Lisu dishi limeyumba na hajui anasimamia wapi. Kwa ufupi ni kigeugeu na mfuata upepo.
Dish linaweza kuwa limeyumba kutokana tu na upepo mkali uliopo nje kwa sababu huwa halikai ndani, ila kwa upande mwingine, ndani ya nyumba signal za TV zinakamata vizuri tu na watu wanaendelea na burudani zao kwa raha mstarehe ndani ya nyumba yao; au nakosea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…