Jamani mwanaume Msafi anavutia asikwambie mtu

Aisee
 
Nlisema mimi. Kuwa huyu jamaa NDO BASI TENA. sasa amefikia hatua hawezi jificha.

Nli
 
We ni wa kike au wa kiume?
 
Unaipoteza heshima uliyoijenga humu, tumezoea kukuona ukizozana na Waalimu na bata zako za 3 stars ila huko unapoenda sasa siko, muachie cocastic mamaa mwenye tashtiti zake mjini JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu, ndoa traamuu, nimetulia km sio mie vile, yaan nimepoaa had najiogopaaa.

Huyu mtoto wa mama mkwe sio kwa kunituliza huku, mie wa kupunguza heka heka kweliii?

Mkunyenge na uheshimiwee. Woiiiih.
 
Hakika!.

Ule uzi wako wa kutamani kuzaliwa mwanamke ulitoa red flags.

Huu unathibitisha kuwa wewe ni Bwabwa.

Yaani mwanaume unavutiwa na wanaume wenzako? Wewe itakuwa walikufukuza ualimu kwa sababu ya mambo ya kishoga..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Ubaya wa ile kitu utajitahidi kuficha ila mwisho wa siku utaamua liwalo na liwe refer member wa sauti sol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu zinauma mie, waja mna nini lakiniii??
 
"" Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa""

Kwahiyo umeji exclude, wewe sio mkaka?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…