Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jichanganye tu uje ulishwe donatiKutokana na taarifa za kiintelijensia! Na hii ni baada ya kushirikiana na taasisi nyeti za upepelezi duniani; nimethibitisha pasipo na shaka!
cocastic ni binti wa Kimatengo.
AiseeYani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.
Sio mkaka unanuka mijasho all time halafu makwapa meusiii tiii sasa hapo utapataje pisi kali mmh. Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa. Ukitoka kwenye kazi zako oga vzr pendeza
Wanaume wasafi wataendelea kuchukua wake zenu mpaka mkome mbona. Nawapenda wadada wote mnaonipenda Kwa usafi niliona ndio mana hapa kitaa natafuna pisi kali hatari
LGBTNilivyokuja mbio nikafikiri Ma Mshuza anatoa compliment kumbe ni mhuni.
NliYani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.
Sio mkaka unanuka mijasho all time halafu makwapa meusiii tiii sasa hapo utapataje pisi kali mmh. Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa. Ukitoka kwenye kazi zako oga vzr pendeza
Wanaume wasafi wataendelea kuchukua wake zenu mpaka mkome mbona. Nawapenda wadada wote mnaonipenda Kwa usafi niliona ndio mana hapa kitaa natafuna pisi kali hatari
We ni wa kike au wa kiume?Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.
Sio mkaka unanuka mijasho all time halafu makwapa meusiii tiii sasa hapo utapataje pisi kali mmh. Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa. Ukitoka kwenye kazi zako oga vzr pendeza
Wanaume wasafi wataendelea kuchukua wake zenu mpaka mkome mbona. Nawapenda wadada wote mnaonipenda Kwa usafi niliona ndio mana hapa kitaa natafuna pisi kali hatari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaa kumekuchaaa.Mmmh!! Mbona kama uandishi wa kike!!!
Au yungu ndio umeamua kuanza kupractice kile ulichokuwa unatamani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu, ndoa traamuu, nimetulia km sio mie vile, yaan nimepoaa had najiogopaaa.Unaipoteza heshima uliyoijenga humu, tumezoea kukuona ukizozana na Waalimu na bata zako za 3 stars ila huko unapoenda sasa siko, muachie cocastic mamaa mwenye tashtiti zake mjini JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahHakika!.
Ule uzi wako wa kutamani kuzaliwa mwanamke ulitoa red flags.
Huu unathibitisha kuwa wewe ni Bwabwa.
Yaani mwanaume unavutiwa na wanaume wenzako? Wewe itakuwa walikufukuza ualimu kwa sababu ya mambo ya kishoga..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu zinauma mie, waja mna nini lakiniii??Ubaya wa ile kitu utajitahidi kuficha ila mwisho wa siku utaamua liwalo na liwe refer member wa sauti sol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamanii mie sitakiii, khaaahMatokeo ya kuzunguka 3 star hotel na huna hela. Unafurahia kupanda land cruiser za wahuni.
Sent using Jamii Forums mobile app