Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu katapelewi Magufuli stand

Pole Sana if I'm not mistaken watamfaulisha Ila wapiga debe na mawinga wanachanganya Sana stand

Kama hauwezi kukata ticket online nenda ofisini ukutane na muhusika
Ndiyo kosa alilolifanya na nilimuelekeza vizuri kabisa,inaonekana hilo basi ni bovu yale ya kupakia abiria kila kituo
 
Piga simu LATRA
 
Kibaya zaidi wanampa Tiketi ya kalatasi ambayo hata ukipata ajali haitambuliki na Bima inasikitisha sana,
 
Gari yenyewe ni number G 987 AWY
😅 😅 😅
 
Waombe msaada Tanpoltz
 
Amekatia wapi Ticket?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…