Alistuka, kuomba msada hakuna sliyemsaidia hamuoni konda wala dereve,yaani gari inaondoka nampigia simu niongee na konda anasema hamna konda yuko dereva tuDuuh! Pole yake ila nadhani ni kukosa umakini kwani hakusoma taarifa baada ya kupewa tiketi hyo from dar to kyela ?
Asante mkuu...πππ
Kyela express lipo online?Badilikeni hivi siku hizi yanakwendaje kukata ticket stendi wakati Kila kitu online
Mpaka saa hizi sijapata msada wowote maana namba nilizogogle moja haisomi WhatsApp ya Latra na ya Tanpoltz inasoma lakini haiko olinePole sana tupe mrejesho ulipofikia
Siko TanzanzaniaAngepiga simu ya bure LATRA
Sasa kwanini ukahangaike na gari usiyoijua , Kaa home kata ticket nenda na msg tu.Kyela express lipo online?
Kama ni muhusika kweli mlichofanya siyo poa kabisaAsante mkuu...πππ
Si upo hapa kuabisha weΓ±zako .. baridi ππππ
Kwenye stendi zote kuna madalali tena wananjaa sana.Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
"Mji njoo na akili zako tabia utazikuta"Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Wameondoka saa 11 kamili kwa saa za Tanzania
Huo ni utapeli wala siyo ujanja ningekuwa mimi wasingenifanyia hivyo,au ningekomaa nao,mpaka Kyela,Kasumulu border"Mji njoo na akili zako tabia utazikuta"
Si huwa mnasema elimu haina umuhimu? Angalia darasa la saba alivyopigwa kiboya. Dunia ya leo unatapeliwa tiketi?Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Nenda kituo cha polisi cha ngazi ya wilaya , trafiki au polisi kawaida omba kuongea na ocd dto au msaidizi wakeMpaka saa hizi sijapata msada wowote maana namba nilizogogle moja haisomi WhatsApp ya Latra na ya Tanpoltz inasoma lakini haiko oline
Duuh umeuliza basi gan nimekujibu sasa hapa nimekuabisha kivipAsante mkuu...πππ
Si upo hapa kuabisha weΓ±zako .. baridi ππππ
Mbona umeshangaa huamini kwamba chuma ya Namba A inaweza kuwa barabarani au?????!!!!
Kyela express inaenda songea mkuu?Kyela express lipo online?
AtafaulishwwK
Kama ni muhusika kweli mlichofanya siyo poa kabisa
Hapana mkuuDuuh umeuliza basi gan nimekujibu sasa hapa nimekuabisha kivip