Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

Jifunzeni kuweka akiba ya maneno!
 
Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.

770267396df5dc6a2e855babd967a128.jpg

Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.

Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.

Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.

Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.

Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.

Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.

Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
Bora waondoke wanasisiem hata million 2
 
Kumbe viroba bado vipo!???
 
Ni shujaa kweli kwa sababu sisi wa Tz tumekua kama samaki tuna mengi ya kuongea lakini maji yanatuzuia. Hata kilio chetu machozi yake hayaonekani kwa sababu yanapotelea majini. Hatuwez kuongea chochote tumefumbwa. Lakini she is there for us "wanyonge" ambao mama zetu wanatukanwa hadharani na wakuu as if wao walishushwa duniani. Hata wewe unaepinga najua umemfollw instagram, post zake zinakukuna kweli. Mwacheni atusemee tuliyopaswa kusema
 
Hakika She is a great Women..
Kajaribu kufanya yake..
 
mange yuko mubashara anafatilia huu uzi pongezi kwako dada mange tutakupenda daima,. ukitaka kuamin kam yuko mubashara nenda insta kaone nin amepost sahv. NAKALIBISHA MAPOVU
 
Hivi kweli nyie wanaume na wanawake mnaojitosheleza mnasadiki kweli Mange ni hero?? Hii nchi inamatatizo ndo maana viongozi na wenyewe wanfanya watakavyo.. Mange hana chakupoteza tena Huku kumbukeni hilo
Unashangaa nini kuhusu watanzania? Ama umesahau kuwa hawa hawa tunaowaita GT wa JF walimsifu sana Mwakyembe wakati wa Richmond? Umesahau hawa hawa walimtukana mzee wa watu Lowasa bila hata kuwa na ushahidi na wakamuita FISADI, unawashangaa nini si hawa hawa walimuita Nape vuvuzela? niseme nini tena?? Hivyo usishangae mwakani ukiona Paul Makonda akiwa shujaa kama ilivyokuwa kwa nape, Lowasa. Watanzania tuna matatizo ya kutotunza nini tulikisema jana tupo kama Donald Trump. Ninajiweka katika kundi moja maana sisi wote ni watanzania hivyo nikisema ninyi watanzania nitaulizwa mimi ni wa wapi. Inatubidi tukapimwe akili labda tuna maradhi makubwa sana ya ugonjwa unaoitwa unafiki. Mange huyu naye kama mtanzania pamoja na kuishi nje ya nchi huu ugonjwa pia anao. Alikua surrogate wa CCM mwaka 2015 wa kuwachamba UKAWA na watu wa UKAWA humu hawakumpenda, Jack Wolper Pia alikua Surrogate wa Ukawa alikua akiwaponda CCM na alipendwa na wanazi wa UKAWA lakini ma Surrogate walipobadili vyama sasa wanakua wazuri kule walikohamia ndiyo ninaposhangaa kazi ya UNAFIKI>>>>>
 
Dada huyu ukiacha mambo yake mengine mengine kwakweli ni whistle blower mzuri sana anaepaswa kuungwa mkono na wanasiasa wote hasa wa upinzani pamoja na wamiliki wa mitandao na blogs mbalimbali kwa kuruhusu ku-share taarifa zake katika mitandao au blogs zao.

Huyu dada kwa sasa amekuwa ni mlipua mabomu kama alivyokuwa Dr.Saa enzi zile akiwa katibu Mkuu wa CHADEMA ila bahati mbaya anakosa support kutoka kwa wanasiasa ambao wanatakiwa wazifanyie kazi taarifa zake na kuzifikisha kunako husika kama vile Bungeni,n.k.

Ukiacha wanasiasa, hata wanahabari wanaweza kumtumia kama chanzo cha kupata habari ambazo kabla hawajaziandika watazifanyia utafiti kwanza kujua ukweli wake na kisha kuzitoa katika vyombo vyao vya habari

Kwa mfano,hivi sasa dada huyu ametoa taarifa kutoka website ya kampuni ya Boeing taarifa inayohusu usajili na ununuzi wa ndege za Boeing 787.

Taarifa hiyo imeletwa hata hapa JF na member kadhaa ila pamoja na dukuduku linaloonekana kubebwa katika taarifa hiyo,mods wamekuwa hawaruhusu taarifa hiyo ijitegemee bali wamekuwa wakiiunganisha jambo ambalo binafsi naona si sahihi.

Ukweli ni kuwa taarifa hiyo itasambaa tu katika mitandao mingine hata kama hapa JF haichwi kusimama peke yake ila jambo la msingi ni taarifa hiyo kukanushwa au kutolewa ufafanuzi na wahusika.

Uongo usipokanushwa au kutolewa ufafanuzi hugeuka ukweli hivyo ni bora tu taarifa hiyo ya usajili na uuzaji wa ndege hizo ikatolewa ufafanuzi ikiwemo kuthibitsha kuwa website hiyo sio website rasimi ya kampuni ya Boeing au taarifa iliyoko katika website hiyo ina makosa,n.k.

Ukiwa mzalendo dada huyu utamthamini kwa yale mazuri yake na yale mengine mengine utaona hayakuhusu na utayaacha huko huko uliko yakuta.

Tusisahau hata hapa JF kuna majukwaa yanajadili maswala ya mapenzi na mambo mengine ya aina hiyo ila tofauti iliyopo ni kuwa hapa JF kuna udhibiti wa lugha ya kutumia tofauti na katika account ya Instagram ya dada huyu.
 
Mange kawa role model wa CHADEMA......nasikia CHADEMA wana mlipa kwa kuwapa ubuyu na umbea
 
Mange ni mzalendo wa kweli wa nchi hii, anawaacha ccm macho kodo
 
Dada huyu ukiacha mambo yake mengine mengine kwakweli ni whistle blower mzuri sana anaepaswa kuungwa mkono na wanasiasa wote hasa wa upinzani pamoja na wamiliki wa mitandao na blogs mbalimbali kwa kuruhusu ku-share taarifa zake katika mitandao au blogs zao.

Huyu dada kwa sasa amekuwa ni mlipua mabomu kama alivyokuwa Dr.Saa enzi zile akiwa katibu Mkuu wa CHADEMA ila bahati mbaya anakosa support kutoka kwa wanasiasa ambao wanatakiwa wazifanyie kazi taarifa zake na kuzifikisha kunako husika kama vile Bungeni,n.k.

Kwa mfano,hivi sasa dada huyu ametoa taarifa kutoka website ya kampuni ya Boeing taarifa inayohusu usajili wa ndege za Boeing 787.

Taarifa hiyo imeletwa hata hapa JF na member kadhaa ila pamoja na dukuduku linaloonekana kubebwa katika taarifa hiyo,mods wamekuwa hawaruhusu taarifa hiyo ijitegemee bali wamekuwa wakiiunganisha jambo ambalo binafsi naona si sahihi.

Ukweli ni kuwa taarifa hiyo itasambaa tu katika mitandao mingine hata kama hapa JF haichwi kusimama peke yake ila jambo la msingi ni taarifa hiyo kukanushwa au kutolewa ufafanuzi na wahusika.

Uongo usipokanushwa au kutolewa ufafanuzi hugeuka ukweli hivyo ni bora tu taarifa hiyo ya usajili na uuzaji wa ndege hizo ikatolewa ufafanuzi ikiwemo kuthibitsha kuwa website hiyo sio website rasimi ya kampuni ya Boeing au taarifa iliyoko katika website hiyo ina makosa,n.k.

Ukiwa mzalendo dada huyu utamthamini kwa yale mazuri yake na yale mengine mengine utaona hayakuhusu na utayaacha huko huko uliko yakuta.

Tusisahau hata hapa JF kuna majukwaa yanajadili maswala ya mapenzi na mambo mengine ya aina hiyo ila tofauti iliyopo ni kuwa hapa JF kuna udhibiti wa lugha ya kutumia tofauti na katika account ya Instagram ya dada huyu.
Kwa hiyo CHADEMA siku hizi source yenu ya habari ni kupitia kwa Mange kweli hicho chama kimekufa
 
Back
Top Bottom