Mimi nilichoelewa kutoka kwako ni kuwa wewe ni mmoja katika wale wanaojiaminisha kuwa kuna giza kwa kufumba kwao macho.Mifumo imeshindwa kutoa majibu ya maswali yanayokikabili kizazi hiki, mifumo ya dini, siasa, elimu, fedha, familia na sayansi na teknolojia! Ukinielewa utakua umejua jambo kubwa sana!
Kwenye mahusiano ya sasa usiwe na matarajio makubwa, usijitoe, usiwekeze. Otherwise you will learn the hard wayHali ni mbaya, hatupaswi kuwa na matarajio yoyote kwenye mahusiano ya sasa,
Njoo unipende na mimi ili nijue kama kweli kuna upendo huko kwenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uko wapi huko ambako hampendani, huku kwetu ni bul bul tunapendana hadi raha......
🤣🤣🤣Ndoa hz. Yaan saa moja usiku ushaulizwa upo wapi??? Sasa huko c n kupoteza uhuru wa maisha
Nakubali, sasa na kwa hao wachache wenye upendo wa kweli wanaangukia wapi, au waendelee kuvumilia maasi ya dunia.siku za mwisho upendo wa wengi utapoa
Kabisa Yani ni mwendo wa kunafikiana tuHali ni mbaya zaidi kwa hawa wanaojiita wana ndoa 😎🤝🏽
SureKwenye mahusiano ya sasa usiwe na matarajio makubwa, usijitoe, usiwekeze. Otherwise you will learn the hard way
Hapa napokea ujumbe toka kwa jirani yangu amepanda mbegu kwa shemeji wa jirani yake anaomba kusindikizwa kwenda kurekebisha hali ya hewaKumetokea nn kwenye jamii ya Sasa mbona kila sehemu NDOA zimekuwa shubili Yani amani hakuna furaha ya MAHUSIANO hakuna tabu tupu shida ni nn?
🤣🤣🤣JamanHapa napokea ujumbe toka kwa jirani yangu amepanda mbegu kwa shemeji wa jirani yake anaomba kusindikizwa kwenda kurekebisha hali ya hewa
Watu hawajitambui wanaishi maisha ya maigizo mithili ya maigizo ya kinaigjeria kituruki,kipholipino,kimarekani na kibongo movie.Kumetokea nn kwenye jamii ya Sasa mbona kila sehemu NDOA zimekuwa shubili Yani amani hakuna furaha ya MAHUSIANO hakuna tabu tupu shida ni nn?
Tusikitike asee furaha kiduchu uzuni kama zoteHapa napokea ujumbe toka kwa jirani yangu amepanda mbegu kwa shemeji wa jirani yake anaomba kusindikizwa kwenda kurekebisha hali ya hewa