Jambo kubwa linakuja mbele ya Taifa, ewe mtanzania fungua macho

Ninae mwamini ni maharage ya ukweni peke yake
Utabiri wa kutabiri ajali ya ndege halafu inakuja kutokea huku kwenye eneo la ajali wakiwepo watu wanaozuia marubani kuokolewa! Huo ndiyo utabiri unaousifia Amka wewe watu watahamia sayari ya Mars uachwe ukiwa umelala usingizi hapa duniani. Angalia matukio halafu changanya na za kwako. Huyo maharage wako inabidi akae vizuri sana
 
Kukosa uteuzi tu basi unalia kia kila siku na kudanya watu unabii wa uongo.

Nchi iko salama chini ya Rais Samia Suluhu.
 
Amen
 
Ufanye kazi acha kulialia na kutaka mkate wa bure!
Imeandikwa , asiyefanya kazi na asile!!
 

Malizia kama enzi zile ukiandika unaripoti kutokea ..... Uzi huu ulikuwa wapi? ☺️
 
Ee Mungu tuondolee huyu kiongozi aliyepo, Iwe ni kwa mapinduzi ya kijeshi, kikatiba au kwa namna yoyote , ilimradi tuepukane na mateso haya tunayopitia wana wako.Amina 🙏
 
Jusufu alipo itwa na Farao ili atafasiri ndoto ameota nadhani alimwambia ukweli kutakuwa na njaa Kali ktk dunia. Jambo moja nalipenda kutoka kwa Yusufu nipale alipo mwambia Farao atafute watu wenye akili ktk Misri ili wakafanyie kazi maono yake. Ila Farao akawa amemtega au ktk kuvurugikiwa na ile taarifa akamuuliza Yusufu je ni nani amoe ile nafasi unajuwa Yusufu alijibuje? Alimwambia Farao akatafute mwenyewe hao watu maana yeye hawajuwi watu zaidi ya mfalme ndipo Farao akamjibu na kumwambia sioni mtu mwingine ila wewe Yani Yusufu. Uwenda Mimi na wewe tungekuwa Yusufu tungejibu atupe sisi ile kazi.
Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa. P watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa. Mungu ameenda mbali nakusema kwakuwa umeyakataa maarifa na mimi nimekukataa. Wapo watu wanaona kesho ya hili Taifa sio kwa kubahatisha ila kwakuona in real time. Mbele za Mungu hakuna siri naomba ukasome Bible wakati fulani mfalme mmoja aliuliza hivi nani anavujisha siri za Jeshi letu mtu mmoja akamwambia ni nabii mmoja kule Israel anakaa milimani. Mfalme kwa hasiri akatuma Jeshi likamkamate kijakaz wake alipo ona akatetemeka sana akamwambia unatetemeka Nini angalia Jeshi limetuzunguka sisi ndipo Mungu akaliangamiza Jeshi lote kwa moto. Mungu huyu yupo hata leo. Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa. Jion njema
 
Ee Mungu tuondolee huyu kiongozi aliyepo, Iwe ni kwa mapinduzi ya kijeshi, kikatiba au kwa namna yoyote , ilimradi tuepukane na mateso haya tunayopitia wana wako.Amina 🙏
Mama hana baya, hajawahi kuua mtu, ni makosa tu yakibinadamu...kwaiyo ni ngumu sana kwa hayo maombi yako kumpata!
 
Ee Mungu tuondolee huyu kiongozi aliyepo, Iwe ni kwa mapinduzi ya kijeshi, kikatiba au kwa namna yoyote , ilimradi tuepukane na mateso haya tunayopitia wana wako.Amina [emoji120]
Hukusali hivyo wakati wa utawala wa muuaji, halafu unakuja kusali kwa mtu anayejali uhai wa binadamu, unategemea sala yako itasikika? Au unasali kwaajili yako, akupumzishe, kama ulivyosema, kwa sababu unateseka?
 
Litokee tu tupo tayari kulipokea hilo jambo maana maisha ya mtanzania hayajawai kuwa bora
Kwani yatakuwa Bora baada ya Katiba? Kenya na South Africa Kuna Katiba za kufukuza Rais,vipi maisha Yao Ni Bora?

Endelea kusubiria wanasiasa utalalamika Hadi unazikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…