Jambo kubwa linakuja mbele ya Taifa, ewe mtanzania fungua macho

We we mwehu kweli unadhani taifa bilakuibia watu nakufunga watu kwenye viroba pia kupiga watu marisasi bila kusahau kudhulumu wavuvi haliwezi kuendelea magufuli alikuwa mchoyo wahovyo sana ndiomaana hata ajira hakutoa kifupi alikuwa anauwa elimu
 
Bandari
 
We we mwehu kweli unadhani taifa bilakuibia watu nakufunga watu kwenye viroba pia kupiga watu marisasi bila kusahau kudhulumu wavuvi haliwezi kuendelea magufuli alikuwa mchoyo wahovyo sana ndiomaana hata ajira hakutoa kifupi alikuwa anauwa elimu

Punguza makasirikio mwehu wewe, mlamba asali mmoja
 
Punguza makasirikio mwehu wewe, mlamba asali mmoja
Kunavitu vyakijinga rais auze ardhi alafu atawale anga?,wembuzi wakati yeyemwenyewe anaishi juu ya ardhi tunalazimishana kuviamini vitu vyakijinga mkataba unahatua tatu watumnarukia hatuwa zambele .tumeanza na ukaribisho alafu masheriti yatafuata sasa nanimwehu kama siwewe ambae hujui kitu
 
Lisu jana tarehe 04/08 akiwa chato kasema kwamba kuba wavuvi 60 wameuliwa kisa kuvamia hifadhi.na kutupwa baharini.
Akiondoka Samia nalo mtalisema au ndio makosa ya wasaudizi wake.
 
Mungu atatuondolea haya maharamia ya mali za umma
 
Mungu aepushe mbali haya yasitokee.
Tunatamani kuendelea kuwa na amani.
Viongozi wetu pia wajitahidi kutuongoza vyema.
Ondoeni dhuluma na ufisadi.
Endelezeni projects zote zilizosnzishwa kwa maslahi mapana ya nchi.
Nina imani kila raia anatamani kuwa na ustawi katika nchi yake.
Hivyo tuondoleeni vikwazo hasa kwetu sisi wajasiriamali wadogo wadogo.
Kila mmoja wetu akiwa na amani na utulivu, basi Taifa kwa ujumla litakuwa na amani na utulivu.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
 
Hata Mimi nimeona tena jambo kubwa sanaa tena ngazi ya juu kabisa linaenda kutokea tumuombe Mungu,, atupe amani na aidumishe kwa Tz aondoe Roho ya Mauti kabisa.
EE MUNGU TUNAKUTEGEMEA JEHOVA TUEPUSHE NA HICHI AMBACHO SHETANI ALICHOKUSUDIA KWETU
Kama kuitia kiberiti hii nchi ndio njia pekee ya ukombozi, basi mimi nasema "baba wa mbinguni, mapenzi yako yatimizwe"

Acha tufe, ili kizazi kijacho kisipitie haya tunayoyapitia sisi!
 
Ni mzima na pia anachapa kazi

"Waziri mkuu"
 
Kuna haja Gani ya kuandika mafumbo,?
si ungekaa nayo TU moyoni mwako?
Sisi wengine hatutaki kutumia nguvu kufikiria.

Hata hivyo ulituongopea Putin atakufa,hajafa
 
Uwe makini, naamini unabii, lakini wanachanganyikiwaga, ni vizuri kuthibitisha unabii ukishatokea, sababu ni ngumu kutofautisha sauti ya Mungu, ya shetani na mawazo yako, naona unalazimisha unabii utokee ambao sijui alifunuliwa nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…