Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
Yuko busy na vita ya UkraineAlafu yupo kimya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko busy na vita ya UkraineAlafu yupo kimya sana
Botswana, na Libya ya GaddafiAcha upuuzi wewe,nitajie Nchi Moja tuu ambayo watu wanapata asali na maziwa hapa Africa.
We we mwehu kweli unadhani taifa bilakuibia watu nakufunga watu kwenye viroba pia kupiga watu marisasi bila kusahau kudhulumu wavuvi haliwezi kuendelea magufuli alikuwa mchoyo wahovyo sana ndiomaana hata ajira hakutoa kifupi alikuwa anauwa elimuSitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. Hakuna jambo linaweza kutokea ndani ya Taifa Mungu asizungumze na watu ndani ya Taifa. Wapo watu wanajuwa kile chaweza kutokea wapo wanatembea na siri mioyoni ila mara zote haijawahi kuwa kawaida kiongozi kufia madarakani. Hayati Magufuli amelala ila cheche na mshindo wakifo chake ni mambo yatalitesa Taifa na chama kwa muda mrefu.
Wengi hatujuwi wengi tumelala japo wapo watu hawalali mpaka hali itakuwa shwari. Ndio maana kwa wale tuna Dhani au tunafikiri Magufuli alikuwa mbaya mwisho tutafunga midomo na kulilia vyumbani Mungu atusamehe.
Mungu wangu Tukumbuke Watanzania tulio ktk hali dhaifu na tulio choka maumivu yetu sio juu ya kutawala tunataka mkate na chai tupote njaa zetu wao wanataka madaraka ila sisi tuna njaa. Baba tuhurumie tuhurumie Watanzania tumekosa tena tumekosa sana. End
Kwasababu ni hulka ya mwanadamu kutamani maisha ya mwenzie bila kujali anapitia ghalama gani.Natamani tungekuwa na jeshi km la Niger au Mali au Bukinafaso wazalendo na taifa lao na wanasimamia viapo vyao vya kulinda rasilimali zao sio hawa wetu wa Dokezo
BandariSitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. Hakuna jambo linaweza kutokea ndani ya Taifa Mungu asizungumze na watu ndani ya Taifa. Wapo watu wanajuwa kile chaweza kutokea wapo wanatembea na siri mioyoni ila mara zote haijawahi kuwa kawaida kiongozi kufia madarakani. Hayati Magufuli amelala ila cheche na mshindo wakifo chake ni mambo yatalitesa Taifa na chama kwa muda mrefu.
Wengi hatujuwi wengi tumelala japo wapo watu hawalali mpaka hali itakuwa shwari. Ndio maana kwa wale tuna Dhani au tunafikiri Magufuli alikuwa mbaya mwisho tutafunga midomo na kulilia vyumbani Mungu atusamehe.
Mungu wangu Tukumbuke Watanzania tulio ktk hali dhaifu na tulio choka maumivu yetu sio juu ya kutawala tunataka mkate na chai tupote njaa zetu wao wanataka madaraka ila sisi tuna njaa. Baba tuhurumie tuhurumie Watanzania tumekosa tena tumekosa sana. End
We we mwehu kweli unadhani taifa bilakuibia watu nakufunga watu kwenye viroba pia kupiga watu marisasi bila kusahau kudhulumu wavuvi haliwezi kuendelea magufuli alikuwa mchoyo wahovyo sana ndiomaana hata ajira hakutoa kifupi alikuwa anauwa elimu
Kunavitu vyakijinga rais auze ardhi alafu atawale anga?,wembuzi wakati yeyemwenyewe anaishi juu ya ardhi tunalazimishana kuviamini vitu vyakijinga mkataba unahatua tatu watumnarukia hatuwa zambele .tumeanza na ukaribisho alafu masheriti yatafuata sasa nanimwehu kama siwewe ambae hujui kituPunguza makasirikio mwehu wewe, mlamba asali mmoja
Mungu atatuondolea haya maharamia ya mali za ummaSitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. Hakuna jambo linaweza kutokea ndani ya Taifa Mungu asizungumze na watu ndani ya Taifa. Wapo watu wanajuwa kile chaweza kutokea wapo wanatembea na siri mioyoni ila mara zote haijawahi kuwa kawaida kiongozi kufia madarakani. Hayati Magufuli amelala ila cheche na mshindo wakifo chake ni mambo yatalitesa Taifa na chama kwa muda mrefu.
Wengi hatujuwi wengi tumelala japo wapo watu hawalali mpaka hali itakuwa shwari. Ndio maana kwa wale tuna Dhani au tunafikiri Magufuli alikuwa mbaya mwisho tutafunga midomo na kulilia vyumbani Mungu atusamehe.
Mungu wangu Tukumbuke Watanzania tulio ktk hali dhaifu na tulio choka maumivu yetu sio juu ya kutawala tunataka mkate na chai tupote njaa zetu wao wanataka madaraka ila sisi tuna njaa. Baba tuhurumie tuhurumie Watanzania tumekosa tena tumekosa sana. End
Kama kuitia kiberiti hii nchi ndio njia pekee ya ukombozi, basi mimi nasema "baba wa mbinguni, mapenzi yako yatimizwe"Hata Mimi nimeona tena jambo kubwa sanaa tena ngazi ya juu kabisa linaenda kutokea tumuombe Mungu,, atupe amani na aidumishe kwa Tz aondoe Roho ya Mauti kabisa.
EE MUNGU TUNAKUTEGEMEA JEHOVA TUEPUSHE NA HICHI AMBACHO SHETANI ALICHOKUSUDIA KWETU
Ndo njia pekee ya Kumuomba Mungu atuokoeKama kuitia kiberiti hii nchi ndio njia pekee ya ukombozi, basi mimi nasema "baba wa mbinguni, mapenzi yako yatimizwe"
Acha tufe, ili kizazi kijacho kisipitie haya tunayoyapitia sisi!
Ni mzima na pia anachapa kaziSitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. Hakuna jambo linaweza kutokea ndani ya Taifa Mungu asizungumze na watu ndani ya Taifa. Wapo watu wanajuwa kile chaweza kutokea wapo wanatembea na siri mioyoni ila mara zote haijawahi kuwa kawaida kiongozi kufia madarakani. Hayati Magufuli amelala ila cheche na mshindo wakifo chake ni mambo yatalitesa Taifa na chama kwa muda mrefu.
Wengi hatujuwi wengi tumelala japo wapo watu hawalali mpaka hali itakuwa shwari. Ndio maana kwa wale tuna Dhani au tunafikiri Magufuli alikuwa mbaya mwisho tutafunga midomo na kulilia vyumbani Mungu atusamehe.
Mungu wangu Tukumbuke Watanzania tulio ktk hali dhaifu na tulio choka maumivu yetu sio juu ya kutawala tunataka mkate na chai tupote njaa zetu wao wanataka madaraka ila sisi tuna njaa. Baba tuhurumie tuhurumie Watanzania tumekosa tena tumekosa sana. End
AlishirikiBwana Mtekaji thread za namna hizi unazo nyingi sana na mara zote hakuna matokeo isipokua ile thread moja tu ya Ben kukutanishwa na Chatu.
😂 Kirahisi hivyo.... PoleeAlishiriki
Uwe makini, naamini unabii, lakini wanachanganyikiwaga, ni vizuri kuthibitisha unabii ukishatokea, sababu ni ngumu kutofautisha sauti ya Mungu, ya shetani na mawazo yako, naona unalazimisha unabii utokee ambao sijui alifunuliwa naniKuzimu na majeshi yote wameshajiandaa Kwa vita kuishambulia Dunia, watu wamelala USINGIZI.
2023 na kuendelea tumeshauingia msimu na majira mapya.
Tunaenda kugawanyika makundi makuu mawili,
1. Wanaoamini na kumwabudu Mungu aliyejifunua kupitia Yesu Kristo.
2. Waabudu shetani,wachawi,pagan, masonary nk.
Aamen.