Jambo kuu nililojifunza kutoka kwa awamu ya tano. Vijana waliprove wrong kweye nafasi kubwa za uongozi

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Hakika vijana walitukosea sana, waliongoza taasisi ama nafasi zao kwa mihemuko bila kufuata taratibu. Hii siyo kwamba vijana hawafai kupewa madaraka la hasha Bali vijana wengi walioaminiwa na Magufuli ama walikuwa hawakuandaliwa kuwa viongozi ama Magufuli alikuwa anawapa maelekezo ya namna ya kuendesha mambo.

Ukiangalia tukio la Makonda pale Cloud's fm mpaka unajiuliza is this man a leader? Sabaya kule Hai namna alivyokuwa anakimbizana na Mbowe. Hapi kijana chipukizu kwenye siasa kuwanyamazisha wazee tena akiwa siyo msemaji wa chama mpaka unashangaa.

Vijana wa kipindi Cha Nyerere walikuwa so smart mifano ipo mingi, Mangula, Warioba, Wasira kwa uchache wao wameshika madaraka wakiwa na umri mdogo zaidi pengine kuliko umri wa Makonda na Sabaya but they performed very well ukilinganisha na vijana wa miaka hii ya sasa.
 
Boss wa awamu ile alikuwa anapendwa hizo siasa za kibabe. Ivi yule musiba alikuwa haoni na kusikia alivyokuwa anafanya?
 
Kuna kile kimkuu cha mkoa mara kilikua na kiburi level za sgr. Kibishi bishi kijuaju
 
Back
Top Bottom