Jambo kuu nililojifunza kutoka kwa awamu ya tano. Vijana waliprove wrong kweye nafasi kubwa za uongozi

Jambo kuu nililojifunza kutoka kwa awamu ya tano. Vijana waliprove wrong kweye nafasi kubwa za uongozi

Labda hao unaohisi wamefanya hivyo ila kuna vijana wana uwezo mkubwa tu ambao hawakupewa hizo nafasi.

Mifumo yetu ya kupata viongozi wazuri ni mibovu.

Mfano halisi ni jinsi Magufuli aliweza kuwa rais. Kwa nchi zenye mfumo mzuri wa kupata viongozi, Magufuli hakupaswa hata kumbebea mtu fomu ya kwenda kugombea urais, acha tu yeye kugombea urais.
 
Wengi walipewa teuzi baada ya kutishia kuwaumiza wapinzani. Mahakimu majaji na mapolice walipewa vyeo baada ya kuwashughulikia wapinzani
 
Tuache uzandiki sasa, kama pengo limeziba acheni kutaja taja wafu basi !.
Mkuu unajua mpaka leo Idd Amin bado anatajwa. Madikteta huwa wanatajwa sana kuliko wale walioomgoza vizuri. Ndiyo maana unaona Jiwe anatajwa sana
 
Umetaja vijana watano kati ya mamilioni ya vijana waliopewa nafasi halafu ukarukia kwenye conclusion
Ndio sample hiyo Mkuu, kwakweli naiona hoja kutoka kwa mtoa mada, vijana wengi hawakuwa humble na waliendekeza sana camera. Uongozi unahitaji unyenyekevu.
 
Mkuu unajua mpaka leo Idd Amin bado anatajwa. Madikteta huwa wanatajwa sana kuliko wale walioomgoza vizuri. Ndiyo maana unaona Jiwe anatajwa sana
Issue ni pengo kuzibika au udikteta?
 
Umetaja vijana watano kati ya mamilioni ya vijana waliopewa nafasi halafu ukarukia kwenye conclusion

Ili kujua una malaria ni lazima utolewe damu ya mwili Mzima ipimwe?
 
Issue ni pengo kuzibika au udikteta?
Mtu anakufa watu wanafanya sherehe mpaka kuchinja ng'ombe. Inabidi nchi kama nchi ihakikishe hakuna tena mtu kama Jiwe kuja kupata Urais.
 
Back
Top Bottom