Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sasa jambazi namba moja si alikuwa yeye mwenyewe aliyewateuwa? Ulitegemea wateule wafanyaje?Awamu ya tano haikulea vijana wawe viongozi Bora, ilikuwa inawatumia kufanya uhalifu na ujambazi
Mtu muovu lazima atajwe ili uovu wake usije ukarudiwa na wengineTuache uzandiki sasa, kama pengo limeziba acheni kutaja taja wafu basi !.
Umetaja vijana watano kati ya mamilioni ya vijana waliopewa nafasi halafu ukarukia kwenye conclusion
Labda hao unaohisi wamefanya hivyo ila kuna vijana wana uwezo mkubwa tu ambao hawakupewa hizo nafasi.
Mifumo yetu ya kupata viongozi wazuri ni mibovu.
Tatizo la vetting? Nah. Ni malengo ya wateuaji na uteuzi. Unafikiri Makonda na Sabaya walipata uteuzi wao kwa “makosa” au bahati mbaya?Hakuna vetting nzuri
Viongozi wabaya wanakumbukwa zaidiJamani 5yrs tu utadhani jamaa alihudumu 20yrs how comes siku haipiti lazima atajwe hata kama kwa namna nyingine?.
View attachment 2173885
Wewe ni miongoni mwa waathirika wakubwa sana wa kukosekana kwa jiwe , kwa ukatili ule kipi kilikufurahisha ?Umetaja vijana watano kati ya mamilioni ya vijana waliopewa nafasi halafu ukarukia kwenye conclusion
Ndiyo hiyo vetting mbovu kuanzia aliyewateua kama angefanyiwa vetting vizuri asingekuwa Rais hata kwa dak 1 mkuuTatizo la vetting? Nah. Ni malengo ya wateuaji na uteuzi. Unafikiri Makonda na Sabaya walipata uteuzi wao kwa “makosa” au bahati mbaya?
Mkuu unajua mpaka leo Idd Amin bado anatajwa. Madikteta huwa wanatajwa sana kuliko wale walioomgoza vizuri. Ndiyo maana unaona Jiwe anatajwa sanaTuache uzandiki sasa, kama pengo limeziba acheni kutaja taja wafu basi !.
baada ya mda gani? ramani yake imechanika kurudi kwenye siasa tena ngumuAtatoka kwa msamaha bila shaka
Ndio sample hiyo Mkuu, kwakweli naiona hoja kutoka kwa mtoa mada, vijana wengi hawakuwa humble na waliendekeza sana camera. Uongozi unahitaji unyenyekevu.Umetaja vijana watano kati ya mamilioni ya vijana waliopewa nafasi halafu ukarukia kwenye conclusion
Issue ni pengo kuzibika au udikteta?Mkuu unajua mpaka leo Idd Amin bado anatajwa. Madikteta huwa wanatajwa sana kuliko wale walioomgoza vizuri. Ndiyo maana unaona Jiwe anatajwa sana
Umetaja vijana watano kati ya mamilioni ya vijana waliopewa nafasi halafu ukarukia kwenye conclusion
Mtu anakufa watu wanafanya sherehe mpaka kuchinja ng'ombe. Inabidi nchi kama nchi ihakikishe hakuna tena mtu kama Jiwe kuja kupata Urais.Issue ni pengo kuzibika au udikteta?
Wanaoongoza kwa kumtaja ni nyie wafuasi wake, kama unataka tumsagau basi tumsahau woteJamani 5yrs tu utadhani jamaa alihudumu 20yrs how comes siku haipiti lazima atajwe hata kama kwa namna nyingine?.
View attachment 2173885