Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee

Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika

Ni credit kwa Taifa

Britanicca
Bora iwe kwani mambo ni mengi na yenye kuchosha,kuchukiza,kufikirisha,kuhuzunisha ,kuvunja moyo na kukatisha tamaa na kuchochea hasira😭
 
Vp kama walioweza kwa yule ndo hao wanaomlinda huyu?
kuna kuna wengi humu hawawajui wasukuma kete za huu mchezo wetu wa draft kuingia kingi

Yule Blaza wangu alisukumiwa kete,wakala kingi,akaingia kingi,na yeye pia keshesukumiwa kete,akizengua watu wanakula kingi, mtu anaingia kingi.
p
 
Yule aliyekuwa anasifiwa, Jasusi Mbobevu, niguse unuke, ilikuwaje kuwaje team yao ikamg'atisha shuka?
Yule Jasusi mbobevu sio wao,kosa lake ni kutokusikia ushauri

Issue yake ilianzia hapa
Kisha ikaja hapa
https://www.jamiiforums.com/threads...a-2016-watakimbilia-kenya.293271/post-4252616 akatangaza vita na maadui 11, miongoni mwao ni waandishi wawili

Nilipopandisha bandiko hili https://www.jamiiforums.com/threads...kukanusha-kaupata-wapi-tusidanganyane.754905/

Jina langu likaongezwa kwenye list, hivyo nilipokutana nae, nikamkabili, https://www.jamiiforums.com/threads...benard-camilius-membe-sipati-usingizi.758201/

Kilicho mcost ni issue ya yule kichaa, https://www.jamiiforums.com/threads...-anastahili-msamaha-hakujua-atendalo.2090759/

Kitendo cha Mkatoliki kutowasikiliza viongozi wako wa dini, it is a deadly mistake!

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…