Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kwa kweliSio vichwa vigumu bali ni wajuaji. Ndio maana ili utawale vyema ni muhimu kuwaziba midomo wapuuzi maana watakuyumbisha katika mission yako! Hiki ndio alikifanya Magufuli akaonekana katili ila dhamira ilikua njema kabisa.
Yani kuongoza Tanzania ni sawa na kufundisha darasa la wanafunzi 200 ukitarajia kutakuwa na hali ya utulivu na ustaarabu katika kuuliza maswali na majibu ila badala yake kila mtu ananong'ona na kuropoka ovyo bila utaratibu halafu kuadhibiwa hawataki.
Wana expect wafanyiwe ustaarabu ambao wao hawana, hao ndio watanzania bana.[emoji16]
Hii nchi kila mtu anajiropokea tu[emoji1787][emoji1787]Yes ofcourse, kwa nature ya watanzania wanatakiwa kuongozwa kama mifugo sababu ustaarabu ni kipengele kwao. Awe na elimu asiwe nayo wana asili ya ujuaji sana ndugu zetu hawa.
Hii nchi kila mtu anajiropokea tu[emoji1787][emoji1787]
Magu alijua kuwafunza watu
Je unafahamu maana ya Mteule?Na wewe unasoma katiba hiyo vibaya sana kwani hujui tofauti ya rais mteule, na rais anayechukua madaraka ya urais kwa mujibu wa ibara ya 37 ya katiba hiyo.
Anaweza kufanya hivyo kama rais, lakini siyo kuwa kwa yeye kuapa tu, basi baraza lote lililokuwapo limekosa uhalali. Yeye ameingia hapo kuendeleza serikali iliyokuwapo madarakani baada ya kiongozi wake kufariki. Kwa mamlaka ya urais aliyo nayo sasa anaweza kubadilisha baraza lile kama ambavyo Rais aliyemrithi angefanya.Nimekuuliza kwa hiyo unataka kutuambia mh Samia Rais wa jamhuri ya Muungano hawezi badilisha au kutengua waziri mpaka 2025?? Jibu anaweza atatumia ibara inayohusu yteuzi wa mawaziri na naibu mawaziri huwezi kuwa Rais mwenye mamlaka ukose nguvu ya kudhibiti baraza. Ndio maana nilikuambia hayo mazuio ni kwa wakati mtu anashika kiti cha Rais wakati Rais mwenyewe yupo bado. Mengine tusubiri siku za usoni utaona kazi za mh Samia na nguvu yake katika kuamua kuteua na kutengua.
Wala hakuna ugumu wowote,hii nchi watu wengi hawajapata elimu,hata waliopata hiyo elimu viwango vyao VINA UTATA,na waliopata elimu hawajaelimika,hivi prof mzima unawezaje ukasema umetolewa jalalani?Sio vichwa vigumu bali ni wajuaji. Ndio maana ili utawale vyema ni muhimu kuwaziba midomo wapuuzi maana watakuyumbisha katika mission yako! Hiki ndio alikifanya Magufuli akaonekana katili ila dhamira ilikua njema kabisa.
Yani kuongoza Tanzania ni sawa na kufundisha darasa la wanafunzi 200 ukitarajia kutakuwa na hali ya utulivu na ustaarabu katika kuuliza maswali na majibu ila badala yake kila mtu ananong'ona na kuropoka ovyo bila utaratibu halafu kuadhibiwa hawataki.
Wana expect wafanyiwe ustaarabu ambao wao hawana, hao ndio watanzania bana.😁
Katiba haisemi hivyo; rais mteule ni yule aliyechaguliwa kwa kura nyingi lakini bado hajaapishwa, hivyo bado kuna rais mwingine madarakani.Je unamahamu maana ya Mteule?
Katiba ya Tanzania ipo wazi kabisa, Rais akifariki na kama Makamu wake yupo automatically anakuwa ndiye Rais mteule na kusubiri kuapishwa tu. Hili lipo wazi sana
Mbona mnamlazimisha sana wazee, mnataka mama abaki pekeake ili mumpelekeshe jinsi mnavyojiskia [emoji16][emoji16][emoji16]!!?
Sasa kwa taarifa yenu atajiuzulu kisha atateuliwa upya acheni utoto!
Huko Mimi sikutaka kujadili nilisimamia hapo kwamba hawezi fanya mabadiliko kwakuwa amezuiwa na vifungu sasa tupo pamoja shida ulihamaki hapa ni kupeana elimu na ufahamuAnaweza kufanya hivyo kama rais, lakini siyo kuwa kwa yeye kuapa tu, basi baraza lote lililokuwapo limekosa uhalali. Yeye ameingia hapo kuendeleza serikali iliyokuwapo madarakani baada ya kiongozi wake kufariki. Kwa mamlaka ya urais aliyo nayo sasa anaweza kubadilisha baraza lile kama ambavyo Rais aliyemrithi angefanya.
Tofauti ni kuwa kuna wengi wanaodai kuwa kifo cha Magufuli ni kifo cha serikali, na kuwa Samia lazima aanze na serikali mpya; hawatambui kuwa Samia karithi serikali ya Magufuli. Ni Yeye tu anayeweza kuibadili lakini siyo kuwa serikali hiyo imekufa. kama hamtaki majaliwa, basi anaweza kabisa kuvunja baraza la mawaziri na kuunda jipya kama ambavyo Magufuli angeweza kufanya wakati wa uhai wake.
Tusaidiene majibu Rais mteule ni yupi? Na je mara Rais alipofariki katiba ilimteua makamu kuwa Rais lakini hakuweza kushika mpaka kiapo je hapo katika masaa anasubiri kuapishwa sio Rais mteule kidhana ? Nawaza tuKatiba haisemi hivyo; rais mteule ni yule aliyechaguliwa kwa kura nyingi lakini bado hajaapishwa, hivyo bado kuna rais mwingine madarakani.
Huwezi kuwa na rais mteule baada ya kifo cha rais aliyeko madarakani, badala yake unakuwa na makamu wa rais ambaye ndiye anachukua nafai ya urais.
Nipe kifungu cha katiba kinachosema kuwa rais akifariki basi Makamu wake anakuwa rais mteule !! Mimi nimeshaweka aya yote ya 37 ya katiba hapa, ambayo ndiyo inaongelea utaratibu wa kumpata rais mweingine baada ya aliyepo madarakani kufariki.
Katiba haisemi hivyo; rais mteule ni yule aliyechaguliwa kwa kura nyingi lakini bado hajaapishwa, hivyo bado kuna rais mwingine madarakani.
Huwezi kuwa na rais mteule baada ya kifo cha rais aliyeko madarakani, badala yake unakuwa na makamu wa rais ambaye ndiye anachukua nafai ya urais.
Nipe kifungu cha katiba kinachosema kuwa rais akifariki basi Makamu wake anakuwa rais mteule !! Mimi nimeshaweka aya yote ya 37 ya katiba hapa, ambayo ndiyo inaongelea utaratibu wa kumpata rais mweingine baada ya aliyepo madarakani kufariki.
Anaweza kufanya hivyo kama rais, lakini siyo kuwa kwa yeye kuapa tu, basi baraza lote lililokuwapo limekosa uhalali. Yeye ameingia hapo kuendeleza serikali iliyokuwapo madarakani baada ya kiongozi wake kufariki. Kwa mamlaka ya urais aliyo nayo sasa anaweza kubadilisha baraza lile kama ambavyo Rais aliyemrithi angefanya.
Tofauti ni kuwa kuna wengi wanaodai kuwa kifo cha Magufuli ni kifo cha serikali, na kuwa Samia lazima aanze na serikali mpya; hawatambui kuwa Samia karithi serikali ya Magufuli. Ni Yeye tu anayeweza kuibadili lakini siyo kuwa serikali hiyo imekufa. kama hamtaki majaliwa, basi anaweza kabisa kuvunja baraza la mawaziri na kuunda jipya kama ambavyo Magufuli angeweza kufanya wakati wa uhai wake.
Ni heshima kufanya hivyo, unapokuwa kiongozi ni wajibu kuonesha njia.Huo ni uchochezi sasa
Mwanasheria nguli Dr Mwigullu Nchemba alishatoa ufafanuzi!
inatosha alikurupuka tu huyo achana naeKuna utofauti kati ya kutoa ushauri na kumpangia Rais cha kufanya.
Ushauri- Rais anaweza kuufuata au hasiufuate.
Kumpangia Rais cha kufanya- hapa Rais analazimika kufanya kitu, ikiwezekana bila hata utashi wake.(Sidhani kuna Raia hapa Tanzania anaweza kufanya hiki kitu except watu waliokaribu na Rais nayo ni mara chache).
Labda kama unataka watu wapunguze kutoa ushauri.