James Mbatia amtaka Majaliwa ajiuzulu Uwaziri Mkuu

Watu wanamuogopa sana waziri mkuu wetu Majaliwa kwasabababu ni mchapakazi hodari, sasa wanataka mama Samia hasiwe na nguvu ili wampelekeshe wapendavyo, mimi namwomba huyu mama hawe mkali na mwenye msimamo.
Anachapa kazi mpka msikitini. amepitiliza viwango huyu wazir.
 
Mama anatakiwa abadilishe team nzima.
Team ya meko ni wajinga wote na wenye kujali matumbo yao na bado wana ile hulka
 
Kitu gani hicho mgongoni mwa Mama Samia
 
Sijawahi ona mtu mwenye kuimba "...wenye uchu wa madaraka" akijiuzulu...
 
Na kwa mihemko hii ndio maana mnaigawa nchi, kwanza hakuna hicho ulichokiita "mission yako" katika nchi. Ni kukosa utashi wa kiuongozi pale unapotegemea kati ya waTz 61M kusema ndio kwa kila utakachokisema bila kuwepo wa kukupinga kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi.

Kama mnajijua hamna utashi huo wa kiuongozi basi bakini makwenu muongoze familia zenu hakuna atakayekuja kuwahoji, msije huku halafu mkipingwa mnaanza kulia lia na kunyamazisha watu kwa mabavu, tuko karne ya 21.

Watu kama nyie mngekuwepo kupindi cha biashara ya utumwa na ukoloni mpaka leo tungekuwa hatujapata uhuru. Kupingwa kupo tangu enzi za mitume, mje kwenye uongozi mkiwa mmejiandaa na hilo, kinyume na hapo bakini huko hakuna mtu anayeombwa kuja kugombea, ni mambo yenu binafsi tu ndio yanayowasukuma kutafuta uongozi kwa damu na machozi.
 
Huo ni uchochezi sasa

Mwanasheria nguli Dr Mwigullu Nchemba alishatoa ufafanuzi!
Hahahaha, bwana mwigulu, mwanasheria nguli wa nchi ya wagagagigikoko na asiyejitambua kuwa yupo mwisho wa enzi.
 
Hofu ya Majaliwa ni kwamba akijiuzulu huenda asikumbukwe tena.
Haihitaji diploma ya political science kujua kuwa ni lazima Baraza la Mawaziri lazima livinjwe soon.
 
Bado ni Makamu wa Rais! Katiba imeweka wazi kuwa rais akifariki, basi makamu wa Rais ndiye anarithi kiti hicho moja kwa moja, hakuna transition ya kusababisha kuwepo rais mteule. Ni tofauti sana na rais anayepatikana kwa raia kupiga kura, zikahesabiwa, halafu akatangazwa kuwa mashindi wakati bado kuna rais mwingine. Wakati wa transition au mpito wa kirithiana madaraka ndipo kunapokuwepo na rais mteule.
 
Yani wabongo wajuaji juaji na wambea ndio maana TISS wwanafanikiwa kugather intelligence information kwa umbea wa wabongo.
Yani hawakosagi pa kuanzia kabisa hasa wakikatiza anga za JF ama Insta. Wabongo tunapenda umbeya saña i could imagine dokezo alilotoa Mabeyo lilivyoshupaliwa na waja humu kwamba...."Ni siri gani hio ambayo CDF anataka kumwambia raisi SSH?"..."Kwanini asingesema pale pale msibani?"
 
Kwanza alitudanganya kama Taifa
 
Tofautisha kupinga na ujuaji, ondoa fundo la ujinga huo. Baba yako anapoweka utaratibu wa kuendesha nyumba yake ikasimama ni mfano halisi wa uongozi thabiti. Asingekuwa imara pengine ungepewa mimba ukiwa form 2 ukaishia kuteseka kimaisha tu.

Ni sababu ya ukali wake na msimamo ambao mlikuwa mnauita ukoloni ndio uliopelekea nidhamu yako kuwa kubwa katika maisha. Ndio maana leo umefikia mafanikio uliyo nayo na una uwezo wa kuja JF ata kuchapisha bandiko. Ni wazi kuwa unampenda sana baba yako au mama sababu ya guidance aliokupa tangu awali.

Heshima ni kitu cha bure tu na unapswa kujiheshimu ili uheshimiwe. Sasa majority ya wabongo wasio na nidhamu hili linawapa shida.
 
Anaweza asiteuliwe tena, !
 
Ujuaji ni kosa namba ngapi kwa mujibu wa sheria za hii nchi hadi yatumike mabavu kuwathibiti wajuaji?

Hayo mengine ni very personal, hapa tunajadili nchi. Za asubuhi ndugu...
 
Ujuaji ni kosa namba ngapi kwa mujibu wa sheria za hii nchi hadi yatumike mabavu kuwathibiti wajuaji?

Hayo mengine ni very personal, hapa tunajadili nchi. Za asubuhi ndugu...
Ujuaji ni kosa namba 1 na hasa kumpangia raisi cha kufanya. Ile ni taasisi inayojiendesha so tuwe na akiba ya maneno.

Nimekueleza huo mfano ili upate picha tu ya ambacho kilikuwa kinafanyika sio uonevu bali kudhibiti upuuuzi. Kwani mkikaa kimya mkafata mambo yenu kuna mtu atapungukiwa na kitu?
 
Wala hakuna ugumu wowote,hii nchi watu wengi hawajapata elimu,hata waliopata hiyo elimu viwango vyao VINA UTATA,na waliopata elimu hawajaelimika,hivi prof mzima unawezaje ukasema umetolewa jalalani?
Ni mambo ya kustaajabisha mno kuwa na watu walioenda shule ila hawajaelimika😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…