Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Asante ninazo version zote mbili lakini ile ya 2005 ni version ya kiingereza wakati hiiya 2000 ni version ya kiswahili; kwenye mijadala hii hupenda kutumia vifungu kwenye version ya kiswahili tu. Hat hivyo substance bado ni ile ile, kuwa rais akifa, hafi na serikali yake, bali anayerithi ni Makamu wa rais ambae anaiendeleza serikali hiyo.Tafuta revised Version ya mwaka 2005, PM ni watatu kwenye succession Line na Sio Speaker