James Mbatia amtaka Majaliwa ajiuzulu Uwaziri Mkuu

James Mbatia amtaka Majaliwa ajiuzulu Uwaziri Mkuu

Tafuta revised Version ya mwaka 2005, PM ni watatu kwenye succession Line na Sio Speaker
Asante ninazo version zote mbili lakini ile ya 2005 ni version ya kiingereza wakati hiiya 2000 ni version ya kiswahili; kwenye mijadala hii hupenda kutumia vifungu kwenye version ya kiswahili tu. Hat hivyo substance bado ni ile ile, kuwa rais akifa, hafi na serikali yake, bali anayerithi ni Makamu wa rais ambae anaiendeleza serikali hiyo.
 
oja ya kauli inayo onyesha udhalilishaji kwa kuonyesha Rais hawezi kuvunja baraza la mawaziri kwakua anamuogopa/ anamuonea aibu waziri mkuu. Nimawazo ambayo sikutegemea kama yatatolewa na Mbatia.



Kuna kuaminishana kuwa tunamaliza ulipoishia

Jamaa anataka kutuchekesha tu humu
Unafikiri kuwa Waziri wa Katiba na Sheria ndiyo ubobevu wa sheria.
Huyu ndo waziri wa kwanza wa katiba na sheria ambaye sio mwanasheria.
 
Aisee hii comment imevurugika sana
Nilitaka kuonesha kuwa kuwa Waziri wa wizara fulani hakumaanishi ubobevu wa masuala ya wizara hiyo.
Huyu ndo waziri wa kwanza wa katiba na sheria ambaye sio mwanasheria.
 
Hivi mnafikiri ni Rahisi ki hivyo..!?
Madaraka matam bhanaa..
Madaraka kweli matamu. Lakini hapa ni kutoa nafasi kwa Mama kuweza kusuka Serikali yake. Yawezekana pia Majaliwa akarejeshewa nafasi yake kwenye Serikali hiyo mpya.
 
Hivi mnafikiri ni Rahisi ki hivyo..!?
Madaraka matam bhanaa..
Madaraka kweli matamu. Lakini hapa ni kutoa nafasi kwa Mama kuweza kusuka Serikali yake. Yawezekana pia Majaliwa akarejeshewa nafasi yake kwenye Serikali hiyo mpya.
 
Ata wakivurugana tu mama atatumia veto.
Mafikizolo wana nguvu sana walimtoa jasho Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete. Inzile wamepata nguvu sana ndani ya miaka hii mitano yaawamu ya tano. Na inavyoonesha Inzile wana ugomvi na Mafikizolo.
 
Tutamkumbuka sana yule mzee hata kama sio HADHARANI basi NAFSI zetu zitatusuta I SWEAR

Hivi kaka unaweza kuniambia watanzania wanataka nini ? SIJAJUA nini kimelikumba Taifa hili Mimi sijui kwa kweli
Naona tuna ambaa ambaa tuu

We nawe!! Umepata sababu ya kumtaja mtu wako. Si umfate huko aliko?
 
Huyo hata mwanafunzi wa certificate of law anamshinda uwezo wa Sheria.
Na atazeeka na hicho cheo tu.Na kwa huyu mama anawekwa benchi mpk asahaulike.
Khaaa..mbona unamchukia tena Kiongozi wetu aliyetaka katika mazingira magumu wakati wa Uviko-19 pale Chato akizingatia social distancing?
 
Huku kwetu ni kushurutishana sababu hayo yanafanywa na viongozi wakubwa wa kisiasa pamoja na wafuasi wao hali inyopelekea taharuki katika public 😁

Kule ni wananchi ambao hawana shida bali wameshiba chips kuku.
Kwa hiyo hii kauli ya Mbatia imekuletea taharuki kweli au ni propaganda tu za jiwe?

Maana madhaifu yake aliyafukia kwa kutunga uongo na kuaminisha watu kupitia wapambe na vyombo vya habari
 
Nafikiri mbuzi ndio wanaakisi tabia zetu vizuri maana hawajuagi mipaka yao. Wao wakiachiliwa huru wanaweza kula hata mboga kwenye shamba la Magereza 😁😁😁
Goat republic siyo?
 
Jamaa itakuwa ni vigumu kuaminika tena na Umma kwa yale ambayo atakayokuwa akiyasema iwapo ataendelea kuwa kiongozi wa nchi maana watu watachukulia ni uongo Sasa hapo itakuwa ni kazi gani yenye kuleta tija?

Sifa mojawapo ya kiongozi lazima wale wanaokuongoza wawe na imani juu yako!

Inabidi awajibike kwa uongo wake hakuna jinsi!
 
Naunga mkono hoja ,hakuna sababu ya kubaki na kiwingu cha marehemu,habari zake zilikwisha baada ya msiba
 
Mbona mnamlazimisha sana wazee, mnataka mama abaki pekeake ili mumpelekeshe jinsi mnavyojiskia [emoji16][emoji16][emoji16]!!?

Sasa kwa taarifa yenu atajiuzulu kisha atateuliwa upya acheni utoto!
Ndio inavyotakiwa,ajiuzuru Ili kama atateuliwa tena kuwa PM au VP au kuachwa mazima ,hilo linabaki la Rais

Wewe kwa akili zako unadhani unaweza mpelekesha Rais? PM ana nini cha kumpelekesha Rais?
 
Majaliwa anatakiwa aonyeshe njia, anapaswa kujiuzuru ili kumpa nafasi mama Samia kuunda baraza lake la mawaziri.

Kitendo cha Majaliwa kung'ang'ania madaraka ni kitendo cha aibu kwa taifa na kinaweza kutoa ishara kuwa huenda Majaliwa ni mmoja ya wahusika wa lile genge lililohisiwa kuwa linataka kumpora mama madaraka ya kiti cha urais.

Majaliwa onyesha njia sasa.
Jiuzuru haraka iwezekanavyo.
Acheni mashinikizo yenu.....
ningekuwa mm ni Majaliwa...
sijiuzuru ng'o
 
Back
Top Bottom