James Mbatia: Kwa sasa Rais Samia hawazi matatizo ya wananchi anawaza uchaguzi wa 2025 tu

Yaani kapaniki na hilo la uchaguzi....na washauri wake wa ovyo ovyo....wanamwandalia makongamano ya kiharakati kila kukicha tbc mubashara
 
Mbatia haaminiki, alikuwa mtoa siri ya vikao vya ukawa 2015 na laana ikamtafuna akapigwa kama mtoto Uchaguzi wa mwaka 2020 sasa yupo tu mtaani anadanga
 
Ila inapendeza kuendelea kuishi kwa matumaini.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nikweli lakini mbatia angejibu kwanza kabla ya uchaguzi aliitwa ikulu 2020 alivotoka aliaza kuzungumza kinyume na wezake ,leo nguvu hiyo anatoa wapi

Hapo ndipo unakuja ugumu wakushikamana
Binadam hujifunza kuendana na makosa
 
Hali ya maisha inazidi kuwa mbaya kila uchao.
 
Mbatia ameongea ukweli, kinachowaangusha wapinzani ni kukosa umoja na baadhi ya vyama kujiona Bora kuliko vingine.
Wakiamua kuondoa tofauti zao hata walioko ndani ya ccm watawaunga mkono.
 
Mbatia haaminiki, alikuwa mtoa siri ya vikao vya ukawa 2015 na laana ikamtafuna akapigwa kama mtoto Uchaguzi wa mwaka 2020 sasa yupo tu mtaani anadanga
Hakuna mwanasiasa anayeaminika mkuu......kwenye siasa kuna kitu kinaitwa "compromise "....hao kina mbowe wenyewe walimpokea fisad lowassa na walikuwa wanamwita fisadi so usije ukadhan kuna mwanasiasa anakujali to the extent ya kuwa loyal to you
 
Nilimudharau Sana alitangaza mwezi ule eti Watanzania watapukutika kwa Corona, utafikiri yeye ni Mungu.
Mpaka leo Watanzania tunaishi kwa uweza wa Mungu.
Mchumia tumbo huyu,ukimsikiliza utafikiri ni mtu mwenye uchungu na nchi kumbe njaa.
 
Mbatia kama maji kupwa na kujaa
 
Sijawahi kumwona mwanasiasa mwongo kama James Mbatia. Hivi kweli lini Bi Mkubwa aliwahi hata siku moja kuwaza matatizo ya wananchi!??? Au anamaanisha ^wale wananchi^---inner circle!??? Possibly, who knows.
Wananchi wenyewe ni hawa akina jk na magenge yao kwenye mabiashara yao.
 
Kiukweli ni wazi hata yeye hajui anasimamia nini. Naona yupo yupo tu. Wenzake ndani ya chama labda wanamtegea tu ili mambo yaende mrama.
 
Nilimudharau Sana alitangaza mwezi ule eti Watanzania watapukutika kwa Corona, utafikiri yeye ni Mungu.
Mpaka leo Watanzania tunaishi kwa uweza wa Mungu.
Mchumia tumbo huyu,ukimsikiliza utafikiri ni mtu mwenye uchungu na nchi kumbe njaa.
Hakika usemayo ni kweli mkuu.
 
Binadamu makini yeyote huwa anajua weakness na strength zake na pia za wenzake/washindani wake. Alichosema ndiyo uhalisia bila vyama vya upinzani kuungana kudai kwa pamoja watakwama...
 
Chadema haitashirikiana na msaliti yeyote tena kuanzia muda huu , kila mtu ashinde mechi zake
 
Chadema haitashirikiana na msaliti yeyote tena kuanzia muda huu , kila mtu ashinde mechi zake
Wamekuwa wakitupotezea muda sana hao wasaliti. This time tumewagundua. Na uzuri we can stand on our own.

Yeye kama ni kipenyo si aishauri serikali kuweka mazingira bora ya utawala bora, haki na semokrasia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…