Uchaguzi 2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before

Labda ateuliwe tena kwenye viti maalumu kama enzi za JK!!!!😂😂😂😊 itishine tume huru mjue kuwa hamjue au hamkujipanga
 
huyu jamaa ukifatilia post zake na hoja zake ni jamaa flani hv mwenye uelewa mdogo na akili ndogo sana kama za mtoto wa chekechea hasa kwenye kujenga hoja,ila ukiangalia kwa umakini baada ya Mbatia kwenda ikulu nahisi jamaa Kuna kitu kikubwa anakijua hasa makubaliano baina ya jiwe na Mbatia tusimpuuze sana huyu jamaa wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tume ya Uchaguzi ipo huru kabisa

Kumbuka Mbatia ni mbunge halali wa kuchaguliwa wa vunjo
Labda ateuliwe tena kwenye viti maalumu kama enzi za JK!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji4] itishine tume huru mjue kuwa hamjue au hamkujipanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbatia ameanza kupigania demokrasia Wewe ulikuwa hujazaliwa kijana

Vijana wa Mbowe mjifunze kuheshimu watu

Sent using Jamii Forums mobile app
We Jamaa kama Mbatia anakulipa au umeamua kumsaidia utamsaidia zaidi kwa kuacha kuleta hizi post ambazo hazijengi kwa kuwa-attack wapinzani wengine..., ila kama nia yako ni kumharibia then you are doing a perfect job
 
Kamanda unaumia chama cha ufipa kinachojifia kifo cha mende [emoji3]

Mbatia amewashika pabaya
We Jamaa kama Mbatia anakulipa au umeamua kumsaidia utamsaidia zaidi kwa kuacha kuleta hizi post ambazo hazijengi kwa kuwa-attack wapinzani wengine..., ila kama nia yako ni kumharibia then you are doing a perfect job

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda usitoe machozi Mbatia ameanza kuwa mbunge wakati wewe hujazaliwa

Usikimbie October tukutane hapa nitakuambia Nccr ina wabunge wangapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga, utamwambia NCCR ina wabunge wangapi kwani watakuwa wamefichwa na utawajua wewe tu ili uwaambie wengine! Unatakiwa upambane serikali iboreshe elimu ya MEMKWA!
 
Huyu James Mbatia ndio unasema atakuwa Mbunge wa wapi vile,Ati atafanya wonders where?Hivi barabara na kusambaza maji ni kazi ya Mbunge au serikali?Acha upumbavu Mbatia keshaisha kisisas
 
Kamanda unaumia chama cha ufipa kinachojifia kifo cha mende [emoji3]

Mbatia amewashika pabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja mimi sio mwanasiasa wala sina chama (wanasiasa wote kwangu ni different sides of the same coin)

Pili kwa point zako finyu unamfanya Mbatia aonekane kazi yake ni kupambana na Chadema na Upinzani na sio Chama Tawala (Jambo ambalo anaonekana kama political prostitute) yupo pale kupambana na watu na sio issues

Kwahio narudia tena kama nia ni kumnufaisha acha kufanya unachokifanya sababu hoja unazoleta ni hafifu
 
Nccr mageuzi ikipata wabunge wa3 ikatambike.kwa sasa watanzania hawataki maigizo.vyama vyote vinavyoigiza visahau.
 
Kama tunataka kuitwa wapinzani wote ni mashoga basi tukubali kampeni hizi za lumumba na jiwe. Nani amesema hawarudi? Hivi tumefikia kupangiwa na jiwe Nani atuwakilishe Nani arudi mjengoni na nani asirudi? Tunakataa kwa nguvu zote take ya serikali za mittaani yajirudie!!! Tutazipiga wait. Unazungumzia maji na Barbara hai?
 
Aliposhindwa ubunge mwaka 1990 Jiwe alijiunga na vuguvugu la National Convention for Constitution Reform, Ben ndo alimrudisha chama tawala 1995. kwa maneno mengine mboga mboga inaongozwa na NCCR.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…