Uchaguzi 2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before

Ok
Unaidhalilisha tume ya uchaguzi. Yani mmeshapanga matokea mwaka mmoja kabla.
No wonder mataifa makubwa yanawatenga sasa
 
Hahaha unakata Wewe na nani ? Sisi Wananchi tumeichoka Chadema Tunataka chama kinachojielewa ila sio Wazee wa Matusi chadomo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuleta tarifa zo wongo hapa..wewe ilishatembelea jimbon kwake ukaona matatizo yalivyokuwa mengi, kwa tarifa yako hata akija kugombania udiwani hapati, kwa kifupi tumemchoka. Hana alichokifanya tangu apewe fursa ya ubunge. Mwambie tumemchoka. Mfikishie ujumbe kwamba barabara ya Mandaka imemfanya asiaminike .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mataifa magani makubwa hawa Marekani anayesulubiwa na corona?

Marafiki zetu wa siku zote ni China,ujerumani na Uingereza Huwezi kuwasikia hawa wanaropoka kitu kuhusu Tanzania
Ok

Unaidhalilisha tume ya uchaguzi. Yani mmeshapanga matokea mwaka mmoja kabla.
No wonder mataifa makubwa yanawatenga sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe upo jimbo la Arusha mjini unazungumza mambo ya vunjo utayajilia wapi?

Mbatia amewashika pabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wote ni Ccm, hata Wewe umezaliwa Ccm
Aliposhindwa ubunge mwaka 1990 Jiwe alijiunga na vuguvugu la National Convention for Constitution Reform, Ben ndo alimrudisha chama tawala 1995. kwa maneno mengine mboga mboga inaongozwa na NCCR.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe upo jimbo la Arusha mjini unazungumza mambo ya vunjo utayajilia wapi?

Mbatia amewashika pabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana unaambiwa huna hoja za msingi...kwani kuishi kigoma utashindwa kujua matatizo ya songea kama wew ni mzaliwa wa pale. Fikisha ujumbe kwa aliyekutuma kuwa Watu wamemchoka hana jipya ubunge asahau kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema mnaumia Nccr mageuzi kuchukua nafasi yenu? Mtafute kazi ya kufanya
Sisi Wananchi tumeichoka Chadema Tunataka chama kinachojielewa
Ndio maana unaambiwa huna hoja za msingi...kwani kuishi kigoma utashindwa kujua matatizo ya songea kama wew ni mzaliwa wa pale. Fikisha ujumbe kwa aliyekutuma kuwa Watu wamemchoka hana jipya ubunge asahau kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wote ni Ccm, hata Wewe umezaliwa Ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kila mbongo ni mcommnist kama unavyofikiria. Watu tuliozaliwa wakati wa chama kimoja, hatukuchagua wala kuamua ndo maana watu kama Mbatia walipata misuko suko vyuoni. Wewe naona una stress za Corona kutorudi chuoni umeamua kuongea pumba. JF ni ya watu makini hivyo kaa utafakari ndo uandike.
 
Huo ubeberu wako ulionao umeisaidia nini Nchi ukiachilia mbali kuporomosha matusi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Empty set
 
Hakuna Sehemu nimetaja European union km marafiki zetu wa asili!

Ujerumani, Uingereza na uchina hawa hawawezi kuropoka kitu kuhusu Tanzania

Hata tukikwaruzana tunapatana

USA hajawahi kuwa rafiki wetu wa asili anajipendekeza tu ili apore mali zetu
European Union si wamekulima barua kibao?
Au hujui? Tbc hawawezi kuonyesha hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ubeberu wako ulionao umeisaidia nini Nchi ukiachilia mbali kuporomosha matusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
tuwa hata hii nchi haitambuliwa na mtu duniani zaidi ya wasomi wa zamani waliosikia hotuba za Nyerere. Ukija nje taja jina la Nyerere siyo Tanzania ndo utajulikana unatokea wapi,
 
Wewe jamaa ni kiazi sana.
Kwa hio hujui European Union ni nini? Unakomaa na ujerumani.
Hapa unanipotezea muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…