James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

Ndio nimejifunza kuacha mafisadi wafisadi mpaka kiwango cha 5G, kumbe tunapenda kupigwa kiasi hiki! Aliyenacho ataongezewa mara dufu hata kwa kuiba.

Mkuu hapa dunian hapa tunapita tuh, Magufuli yuko wapi leo,na kama kulikuwa na case ya kujibu kwa nn wakawekwa ndan muda mrefu hivyo bila hukumu??ndo Yale Yale ya masheikh wa uamsho,na ndiyo haya haya ya mbowe,kumkamata mtu na kumweka ndan muda mrefu bila ushahid kisha unamuachia,life is not rehearsal...utamrudishia vip muda wote uliompotezea
 
Wewe mwenye akili ndio ujiulize kesi moja shitaka moja, mtuhumiwa mmoja amekubali kulipa faini baada ya kinachoitwa plea bargaining, mwingine ameachiwa na aliyemshtaki bila maelezo.
 
Ikumbukwe akiwa mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila ndiye aliyepeleka bungeni hoja ya escrow iliyomuhusisha mzee Rugemalira.

AG wa wakati ule Jaji Werema alimpinga sana Kafulila na kumfananisha na yule kiumbe anayedandia miti hovyo kwa kutafuta sifa mbele ya nyani aitwaye Tumbili.

Jumaa kareem!
 
Inawezekana bwana Kafulila yuko sawa ili tatizo suala Bwn Rugemalira linagusa watu wakubwa pia technical bwn Rugemalira wametumia udhaifu wa kimfumo na kisheria kupoteza nguvu ya kesi ie Ofisi ya DPP ingekua huru kupeleleza na kukamata wote wanaohusika na huo ufisadi bila kujali cheo wala nafasi hii kesi ingekua nzuri Sana ka ya Bwana Jacob Zuma
 
Reactions: Qwy
TUNARUDI KULE KULE, KATIBA IMARA . KILA MSHUKIWA ANGEUNGANISHWA BILA KUJALI NI NANI, MAANA ASIYESHITAKIWA WALA KUULIZWA NENO NI MUNGU PEKEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. TULIOBAKI NI KUWA NA VYOMBO VYA KISHERIA HURUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
Kafulila hana kosa, ni kwel kuna ufisadi ulifanyika kwe ile mikataba sema ilihusisha had ikulu ndo maana bwana Ruge alikua anajiamini na kusema waitwe viongozi walosaini!! Kichofanyika bwana ruge hajaogopa ndo maana wamemuachia!! HII NCHI INA VITUKO
Ruge ,kuachiwa ni mipango ya mizoga gang.
 
Sijui hua tunakwama wap, eti watu wanao pola mali za umma kwa masrahi binafsi leo wanaonekana mashujaaa, .
 
Siyo lazima kila siku uanzishe thread kama huna hoja ya msingi.

Mahakamani unahitajika ushahidi, kama huwezi kuthibitisha jinai ya mtu hapo hakuna kesi, haijalishi mtu ametenda au hajatenda.

Sasa huyo Kafulila unamuhusisha vipi na mambo ya kimahakama, Kafulila alitimiza wajibu wake wa kibunge vizuri sana.

Mwambieni DPP wenu afute kesi zote za magumashi zisizo na ushahidi au ushahidi wa kufikirika ikiwemo kesi ya Mbowe.
 
Mafisadi wanasamehewa kwa sababu za ubinadamu mnaanza kuleta nyokonyoko.
 
Sijui hua tunakwama wap, eti watu wanao pola mali za umma kwa masrahi binafsi leo wanaonekana mashujaaa, .
Mzee Ruge ni shujaa kwa sababu alikataa kuporwa pesa na yule dhulumati ili amtowe jela.

Ruge alikuwa radhi afie jela lakini siyo kumpigia magoti nduli katili.
 
Mzee kweli aliiba hizo hela lakini yeye alipata mabaki tu, Je upo wapi ule mzigo mkubwa?? Hili suala CCM lazima walijibu - zile hela walizochukua weekend kwenye magunia jmosi pale stanbic ulienda wapi?

Mzee pole, watanzania tumekwelewa kwamba ulipata 30% na wewe bila uchoyo ukawagawia na wenzako za mboga. tunaitafuta ile 70% ya mzigo ilipo.
 
We mbwiga wa kwa masista sasa kama hakuna ushahidi si ndio uzushi wenyewe huo!!
 
Mbaya sana hiyo kwa ustawi wa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…