KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Poleh kwa na kwa familia kwa mpito wa kipindi kigumu
Hongera Mrs.Rugemalira
Hongera Mrs.Rugemalira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Sana MkuuGinimbi ndio nani na anakabiliwa na tuhuma zipi?
Samahani niko serious simjui mtu huyo, labda shughuri zake ni nini au anamiliki kampuni gani?
Si alishafariki...Pole Sana Mkuu
Nilikuwa Na Maana Millionaire Yule Wa Nchi Jirani
Mafisadi wanazidi kujikusanya na kufufua team yao chini ya mama samia the killer oneMashtaka yake yameondolewa chini ya kifungu cha 91(1) cha Mwanendo wa Makosa ya JinaiView attachment 1940175View attachment 1940177
Habari mbaya kwa genge la waporaji sukuma gang, huyu mzee aliwakazia sitoi hata mia kudadeki.Mola azidi kumsimamia
habari nzuri kwa familia na wengi
Mtu yeyote mwenye nafasi kama hatapiga atakuwa ni mpumbavu wa hali ya juu sana!Ndio nimejifunza kuacha mafisadi wafisadi mpaka kiwango cha 5G, kumbe tunapenda kupigwa kiasi hiki! Aliyenacho ataongezewa mara dufu hata kwa kuiba.
Leo Sichezi mbali na njia panda ya jeshi mkuu,Jerome kaagiza semibtrela la bia huku makongo
Acha wapige.Habari mbaya kwa genge la waporaji sukuma gang, huyu mzee aliwakazia sitoi hata mia kudadeki.
Na wanarudi kuanzia pale walipoishia, January Makamba ndio in charge, nchi tamu sana hii.
We tafuta mipesa yako uache kuona kila mwenye pesa ni fisadi, wivu mbaya sana huo.Mafisadi wanazidi kujikusanya na kufufua team yao chini ya mama samia the killer one
Yaani.. mwendazakeUyu mzee alionewa Sana [emoji3525]