Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wapige.
Mtu yeyote mwenye nafasi kama hatapiga hela atakuwa ni mpumbavu wa hali ya juu sana.
Namshangaa sana Mbowe ana kila kitu sasa anapata tabu yote kisa kumpigania mtz? Mtz yupi?
Ukirejea hoja za wanachadema enzi za Jk juu ya Rugamalila na sasa aisee..
Narudi! Mtu mwenye nafasi hapa nchini kama hatapiga hela atakuwa mpumbavu sana.
Mpaka leo hujapata bwana tu? Au huwa unapata kisha wanakuacha?Mi naomba nikupige basi
Bora angekaa huko huko gerezani huku nje corona atampitia mpaka atashangaa!!Habari mbaya kwa genge la waporaji sukuma gang, huyu mzee aliwakazia sitoi hata mia kudadeki.
Na wanarudi kuanzia pale walipoishia, January Makamba ndio in charge, nchi tamu sana hii.
Sisi tunachotaka kwa mzee atushushie bei za Heineken tu mpaka 2500 basi.Acha wapige.
Mtu yeyote mwenye nafasi kama hatapiga hela atakuwa ni mpumbavu wa hali ya juu sana.
Namshangaa sana Mbowe ana kila kitu sasa anapata tabu yote kisa kumpigania mtz? Mtz yupi?
Ukirejea hoja za wanachadema enzi za Jk juu ya Rugamalila na sasa aisee..
Narudi! Mtu mwenye nafasi hapa nchini kama hatapiga hela atakuwa mpumbavu sana.
Inawezekana anajua kucheza na hizo sheria au pia anajua kutoa rushwa.Huyo mzee kichwa, anajua kucheza na sheria.
Spon ata issue serikali imlipe fidia kwa kumpotezea muda.
Safi sana.
Na wanaweza kumlipa kwa hela ya tozo ili tufurahi woteHuyo mzee kichwa, anajua kucheza na sheria.
Spon ata issue serikali imlipe fidia kwa kumpotezea muda.
Safi sana.
Kabisa! Na ccm ni mbele kwa mbele maana upigaji kitu gani bana mbele ya bia?Sisi tunachotaka kwa mzee atushushie bei za Heineken tu mpaka 2500 basi.
Wengine wala hatuhitaji maendeleo sisi ni bia tamu asikwambie mtu bana.
Hata akiachiwa,hawezi kurudia mchezo wake wa kuchora madili ya kuibia serikali.View attachment 1940085
Salaam Wakuu,
Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua.
![]()
James Rugemalila(Kulia) na mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh(Kushoto), wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi kabla ya kupanda kizimbani Mahakamani Kisutu Jijini Dar.
Tarehe 19 Jun, 2017 TAKUKURU wawafikisha mahakamani Seth Na Rugemalila kwa uhujumi uchumi. walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu wakishtakiwa kwa makosa sita ya uhujumu uchumi, likiwamo la kuisababisha Serikali hasara ya jumla ya takriban Sh358 bilioni.
Wakili wa Serikali, Paul Kadushi aliyataja mashtaka mengine yanayowakabili wawili hao kuwa ni kula njama, kujihusisha na mtandao wa uhalifu, kughushi, kutoa nyaraka za kughushi, kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu na kuisababishia hasara Serikali.
Zaidi Soma:
1). TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi
UPDATE:
Rugemalila yupo huru!
Mashtaka yake yameondolewa chini ya kifungu cha 91(1) cha Mwanendo wa Makosa ya Jinai
View attachment 1940204
View attachment 1940227
I am not saying that he was/he is guilty, what I mean is, as long as magufuli was not giving regard to the due process of the law, let him be free even if it might be he committed those offencesThere is no that evidence . The man is innocent
Hela yote ilienda kufanya kampeni zaccm kikwete anajua nawala hawajataka aende kutoa ushahidi mzee aliwahi sema ushahidi anao![]()
Muda huu kesi mahakamani, James Rugemalira ameachiwa huru kutokana na kuonekana kesi ina milolongo isiyoeleweka.
Mkurugenzi wa mashtaka DPP amefuta mashtaka ya uhujumu uchumi yaliyokuwa yanamkabili mfanyabiashara James Rugemalila na hivyo kusababisha mahakama kufuta kesi hiyo na kumuachia huru James Rugemalila-ITV
Ameshangaa kusikia magufuli alishakufaView attachment 1940085
Salaam Wakuu,
Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua.
![]()
James Rugemalila(Kulia) na mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh(Kushoto), wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi kabla ya kupanda kizimbani Mahakamani Kisutu Jijini Dar.
Tarehe 19 Jun, 2017 TAKUKURU wawafikisha mahakamani Seth Na Rugemalila kwa uhujumi uchumi. walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu wakishtakiwa kwa makosa sita ya uhujumu uchumi, likiwamo la kuisababisha Serikali hasara ya jumla ya takriban Sh358 bilioni.
Wakili wa Serikali, Paul Kadushi aliyataja mashtaka mengine yanayowakabili wawili hao kuwa ni kula njama, kujihusisha na mtandao wa uhalifu, kughushi, kutoa nyaraka za kughushi, kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu na kuisababishia hasara Serikali.
Zaidi Soma:
1). TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi
UPDATE:
Rugemalila yupo huru!
Mashtaka yake yameondolewa chini ya kifungu cha 91(1) cha Mwanendo wa Makosa ya Jinai
View attachment 1940204
View attachment 1940227
Wapiga deal wako serikalini .... Hao ndiyo walitakiwa wawe gerezani. Siyo huyu mzee ....!!Ndio nimejifunza kuacha mafisadi wafisadi mpaka kiwango cha 5G, kumbe tunapenda kupigwa kiasi hiki! Aliyenacho ataongezewa mara dufu hata kwa kuiba.
Miaka yote 5 waliyomuweka mahubusu bado walikuwa hawajapata ushahidi wa kutosha kumpa jaji amfunge?Ndio nimejifunza kuacha mafisadi wafisadi mpaka kiwango cha 5G, kumbe tunapenda kupigwa kiasi hiki! Aliyenacho ataongezewa mara dufu hata kwa kuiba.