James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka


Mi naomba nikupige basi
 
Mateso aliyoyapata miaka yote kumbe ilikuwa kesi ambayo haina mashiko na nguvu za kisheria,hii ni mbaya sana.sheria zetu,zinasemaje anaweza kudai fidia,kwa maana Serikali imeshindwa kudhibitisha mashitaka Yao.
 
Mi naomba nikupige basi
Mpaka leo hujapata bwana tu? Au huwa unapata kisha wanakuacha?

Any way! Si nilishakwambia jinsi ya kuwapata lakini kuliko hii njia yako ya kutafuta indirect?
 
Habari mbaya kwa genge la waporaji sukuma gang, huyu mzee aliwakazia sitoi hata mia kudadeki.

Na wanarudi kuanzia pale walipoishia, January Makamba ndio in charge, nchi tamu sana hii.
Bora angekaa huko huko gerezani huku nje corona atampitia mpaka atashangaa!!
 
Sisi tunachotaka kwa mzee atushushie bei za Heineken tu mpaka 2500 basi.

Wengine wala hatuhitaji maendeleo sisi ni bia tamu asikwambie mtu bana.
 
Huyo mzee kichwa, anajua kucheza na sheria.
Spon ata issue serikali imlipe fidia kwa kumpotezea muda.
Safi sana.
Inawezekana anajua kucheza na hizo sheria au pia anajua kutoa rushwa.
Msisahau kuwa rushwa bado ipo sana
 
Hata akiachiwa,hawezi kurudia mchezo wake wa kuchora madili ya kuibia serikali.
 
Mungu mkubwa, hashindwi na utawala wa mabavu. Poleni sana familia ya mzee Rugemalira na marafiki zake wa kweli ambao mlishinda mkimuombea uhuru wake na Leo amefanikiwa kuikata minyororo ya watesi wake sasa yupo huru na nje ya milango ya magereza. .
 
There is no that evidence . The man is innocent
I am not saying that he was/he is guilty, what I mean is, as long as magufuli was not giving regard to the due process of the law, let him be free even if it might be he committed those offences
 
hakuna kifungu cha sheria za kuidai jamhuri fidia kupitia kwa DPP ? maana miaka yote hiyo unamshikilia mtu then unasema huna nia ya kuendelea na kesi .. ni nini hiki.
 
Hela yote ilienda kufanya kampeni zaccm kikwete anajua nawala hawajataka aende kutoa ushahidi mzee aliwahi sema ushahidi anao


Ccm hawa hovyo sana uwepo pia wakatiba mpya nimuhimu kuliko chochote

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Ameshangaa kusikia magufuli alishakufa
 
Ndio nimejifunza kuacha mafisadi wafisadi mpaka kiwango cha 5G, kumbe tunapenda kupigwa kiasi hiki! Aliyenacho ataongezewa mara dufu hata kwa kuiba.
Wapiga deal wako serikalini .... Hao ndiyo walitakiwa wawe gerezani. Siyo huyu mzee ....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…