James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

Watanzania hatuna jema
Yule aliyepinga wizi leo majizi yanaachiwa tu.
Hakuna anayejali.
Tz ni kichwa cha mwenda wazimu, maendeleo tutabaki kuyasikia tu.
Mahakamani ndio sehemu ya kuthibitisha wizi wa mtu, miaka mitano mmeshindwa kuthibitisha, nyinyi kama siyo mashetani tuwaite vipi?

Usimweke mtu ndani kama huna ushahidi, unatesa watu bure.
 
Mahakamani ndio sehemu ya kuthibitisha wizi wa mtu, miaka mitano mmeshindwa kuthibitisha, nyinyi kama siyo mashetani tuwaite vipi?

Usimweke mtu ndani kama huna ushahidi, unatesa watu bure.
Kwa hiyo DPP ni utopolo mwingine yaani yupo tu kama K
 
Akifungwa wew utapata nn!?
Itatuchukua miaka mia 100 kupevuka kiakili. Afungwe asifungwe si jambo linalonihangaisha mimi sana. Kwangu ni kuona haki inatendeka na mahakama ndio chombo kinachotoa haki. Chombo hiki kikijikita na kuendeshwa kisiasa tumekwisha. Tukaweka ushabiki mbele kwa kitu tusichokijua ni akili ya ujima.

Maamuzi ni yetu, kama tumeridhika baada ya miaka 60 kuishi hivi tunavyoishi au kuwawinda wanaochelewesha maendeleo yetu.
 
Mahakamani ndio sehemu ya kuthibitisha wizi wa mtu, miaka mitano mmeshindwa kuthibitisha, nyinyi kama siyo mashetani tuwaite vipi?

Usimweke mtu ndani kama huna ushahidi, unatesa watu bure.
Kweli kabisa Watanzania ni mashetani!
 
Besti kufa kufaana. Ila najiuliza Jiwe alishindwa kweli kumpora hela zake hadi yeye akubali. Kama TRA tu walipora hela st jude account bila ridhaa yao Jiwe angeshindwa kwa rugee kweli?
Kwa Ruge alishindwa hilu nakuthibitishia, walioporwa pesa wote ni wale wakiogoopa kukaa jela na kukubali yaishe.

Huyu ni mwamba aingizwe kwenye orodha ya mashujaa.

Ruge is clean mahakama mpaka leo haijamwingiza hatiani, kwa kanuni za kisheria Mzee Ruge amesafishwa rasmi na serikali.
 
Mahakamani ndio sehemu ya kuthibitisha wizi wa mtu, miaka mitano mmeshindwa kuthibitisha, nyinyi kama siyo mashetani tuwaite vipi?

Usimweke mtu ndani kama huna ushahidi, unatesa watu bure.
Kwaiyo akina Lissu na Mbowe,Zitto walivyokuwa wanatema mate bungeni, Mpaka kuweka maazimio walikuwa walikuwa wameongwa kumchafua Lugemarila na serikali ya Kikwete? Mambo haya yalianzishwa na akina Lissu,tena na ushaidi wa nyaraka,tena nakumbuka Lissu alivyopewa nafasi bungeni,alitoa hata history ya IPTL ilivyoanzishwa.wakulaumiwa ni akina Lissu na wabunge waliotoa maazimio kwa serikali Magufuri anangushiwa jumba bovu tu,yeye alitimiza maazimio ya akina Lissu
 
Mimi nimemkubali, mzee ameona potelea Kwa mbali afie gerezani watoto wabaki na utajiri, hiyo ndio Tafsiri ya Kufa kiume
vijana tijifunze kupata hela ni jambo moja na kuilinda ni jambo jingine linahitaji uwe kauzu na roho ngumu
Si bora ulinde utoke ukiwa hai,unafikiri wangemkomalia asitoke huko ndani si ndio ingekuwa imetoka...
 
Back
Top Bottom