James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

Tuko nyuma sana, na sisi tujipange turushe hata satelite moja miaka 100 ijayo.
Sisi tunakwamisha na aina ya serikali tuliyoko nayo.
Serikali yetu ina watu ambao wameridhika.
Hawataki stress kwenye chochote yaani.
Tumeshindwa hata kurusha satellite tu.
Jambo ambalo Kenya na Rwanda wamefanikiwa.

Serikali yetu inatumia bureucracy system
 
Mkuu na issue ya kuona zaidi ya observable universe how far JWST can see?
? Je inaweza kugundua mult-universe
Asante kaka kwa maswali konki yamenipa nafasi ya kurudi tena MASA Library nakupekua mafile niliyokuwa nayakwepa.
1. issue ya kuona zaidi ya observable universe how far JWST can see?
Mpaka leo hii binadamu ameweza kuona back in time miaka 380000 after bing bang event iliyotokea miaka billion 13.8.
JWST inaenda kuangalia namna star na first galaxy zilivyokuwa formed.
Hubble space telescope imeshindwa kutupa hii picha kwa sababu yenyewe inatumia visible light. Lakini JWST inatumia Infrared so inakuwa na uwezo ku detect hizo information.
Maswali ambayo JWST itatujibu ni haya hapa
When and how did reionization occur?
What sources caused reionization?
What are the first galaxies?

2. Multiverse
JWST kwa taarifa itakazotupatia ndo zitatupa nafasi ya kufahamu uwepo wa multiverse. Kwa sababu ina kazi nyingine ya kuzichunguza massive black hole.
Tutapata taarifa nyingi sana mkuu kwa hili kipindi cha miaka 20 ya utendaji kazi wa JWST.

Hebu tumalizane na hili alafu tushuke na thread ya multiverse
 
Ya kweli haya Mathanzua ?
Mike labda nikugeuzie kibao,je unaamini kwamba Marekani wametua mwenzini?Labda nijaribu kukusaidia kujibu swali hilo.

Kazi za Shetani ni kuua,kuiba na kudanganya.Shetani ni mwongo na baba wa uongo na tangu alipofukuzwa mbinguni,kweli haikuonekana ndani yake.Nikukumbushe kwamba hao wanaodai wamefika mwezini ni watoto wa Shetani na mtoto wa Mbwa ni Mbwa!
 

Vipi Kama Ikisema Ulimwengu Unatanuka
 
Unamaanisha hatutakiwi kuzaana?
 
Pagani katika ubora.

Haya wenye imani kuwa yupo MUNGU tumeitwa huku...
 
Jibu zuri.

Binadamu hafanyi utafiti kuthibitisha kuwa hakuna MUNGU.
 
Shetani anasemaje kuhusu hizi darubini alizounda binadamu?
 
Vipi Kama Ikisema Ulimwengu Unatanuka
Ikisema ulimwengu unatanuka itakua bingo kwao, lakini katika historia ya sayansi tunazo takwimu zinazoonesha sayansi ikijokosoa yenyewe

Sasa ikitokea imesema ulimwengu hautanuki tutasemaje??
 


Kumbuka ni maandiko ya dini husan Qur'an ndimo wanasayansi hufanya reference zao, reference zinazowapa hamasa ya kufanya tafiti wanazofanya hivi sasa, licha ya Big bang, expansion of the universe na Black hole kutajwa ndani ya Qur'an kakini pia uhai nje ya dunia yetu pia umetajwa na Allah amesema akipenda atatuunganisha au kutukutanisha na hao viumbe wengine (intelligent beings) waliopo nje ya dunia yetu.

Hivyo wanasayansi wanasoma maandiko ya Qur'an na ndipo huyafanyia kazi.
 
Hahaha nawe jamaa unasema kuna habari za bing bang kwenye vitabu vya dini?

Juzi kuna mwana alipost ki clip cha zile bahari zilizokutana halafu kulikua na background music ya kanyimbo kakiislamu nikabaki kucheka ina maana watu nayo hiyo wameiweka kwenyw list ya maajabu ya allah
 


Specifically speaking, the big bang na Black hole na exterestial lives zimo ndani ya Qur'an tukufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…