Kabla ya the big bang mass zote zilikuwa Collapsed into SINGULARITY katika Black hole, katika hali hiyo huwezi kusema kulikuwepo na Heaven na earth etc wakati all the masses and Energies of all forms were pressed into Black hole to form "Singularity", ni hiyo singularity ndiyo iliyolipuka (big banged) na kuzaliwa the all heavenly bodies (Heavens and the earth in particular), ni kutokana na huo mlipuko ndio maana Heavens and the earth (to be precise the all heavenly bodies) are moving away from the centre of the explosion (the centre of the big bang).
Ninaposema mass zote na all forms of energies were Collapsed into singularity mtu anaweza kuuliza je hiyo singularity ilikuwa katika hali gani?? --- Katika Liquid, Solid, gases, plasma au in some form of energies etc???---labda science iendelee kutafiti na kutuambia ilikuwa katika form ipi kwani Qur'an mara nyingi huweka msingi wa somo kwa ajili yetu kwani kama Qur'an ingaliandika kila kitu in detail basi ingehitajika gari la kuibeba na hata kuisoma ingalikuwa shida na sijui kama angepatikana mtu aliyeihifadhi yote.
Juu ya yote Qur'an bado inatuhabarisha kwamba hii universe inayo expand itarudishwa nyuma (recoil) na kuingia ndani ya black hole na kuripuka tena (big banged) na hali hiyo itakuwa recurring hadi pale Allah atakapo penda vinginevyo, hebu soma aya hii;
"Remember the day We shall roll up the heavens like the rolling up of Scrolls, As we began the first creation, so shall We repeat it; a promise binding on us; We shall certainly fulfil."
Qur'an (21:105).
Ile Singularity katika black hole hapa Allah ameiita: "the first creation ".