James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

Okay 👍 Sawa mkuu...kama Ni Hizo basi kumbe unamaanisha matter/mass.

Sasa nimepata swali,Hivi kama matter yoyote haiwezi kusafiri kuzidi speed ya mwanga (E=mc2) inawezekanaje hizi 'heavens' zinazoexpand zinaexpand kwa speed kubwa kuliko mwanga kulingana na observation ya telescope?

SIO KWELI KWAMBA Universe (heavens in this case) ina expand at the speed of light, nani kasema hicho kitu???---- ni photons tu ndiyo particle inayo kimbia kwa speed ya light, na light constitutes photons they move at such speed because they have no rest mass (photons) are not matters but Heavens/heavenly bodies are matters.
 
Usinitoe katika nukta ya msingi jibu swali nililo kuuliza.

Hakuna Qur'aan iliyo ongelea The Big Bang,kingine msichokijua ni kuwa The Big Bang haelezei chanzo cha ulimwengu bali inajaribu kuelezea kutokea (Evolving).
Hiyo ya kusema bing bang haielezei chanzo cha ulinwengu uneitoa wapi?

Kwamba kipindi bing bang inafanyika huu ulimwengu ulikuwepo?
 
Nafuatilia sana nasubiri miezi 6 ijayo tuanze kuona picha za cosmos
 
Nilikua sijui kama ndani ya waislamu kuna makafiri tena, nikimtag @Mokaze sijui ata react vipi kuona silaha ambayo mmekuwa mkiitumia kwetu leo imemgeukia yeye. Bora sijamtag
Ukimuona kafiri ujue huyo si Muislamu,bali wapo wanao jinasibisha na Uislamu lakini siyo Waislamu. Mfano wao ni Makadiani na Mashia.
Anyway, ebu niambie kwa mujibu wa maelezo yako ike aya Quran 21:30 imezungumzia kitu gani ambacho kwa mujibu wako sio bing bang?
Siyo kwa mujibu wa maelezo yangu,msilolijua ni kuwa Qur'aan alishaifasiri/fasili mtume ndani ya miaka 23. Kwahiyo nacho kusaidia wewe ni kuwa rejea katika vitabu vya Tafsiri ya Qur'aan usome ili ujue Mtume aliifasiri vipi hiyo aya na Mmaswahaba zake waliielewa vipi na kuifanyia kazi vipi. Kwa kukusaidia tena soma Tafsiri ya Ibn Kathiri. Hawa wanao leta Tafsiri zao tunawaaita wajiitao "Watetezi wa Uislamu" na Uislamu hawaujui.
 
Hiyo ya kusema bing bang haielezei chanzo cha ulinwengu uneitoa wapi?
Hivi unaelewa msingi wa chanzo au unajua chanzo ni nini ? Usiulize maswali ya kitoto au huijui Big Bang ?

Big Bang yenyewe inajielezea kwa uwazi kwa kuelezea mchakato wa kutokea kwa dunia kidogo kidogo/taratibu (Gradually).

Kingine Big Bang ni wazo la mtu kujaribu kuelezea namna gani dunia imekuwa,na hakuweza kuelezea chanzo cha dunia sababu hakuwepo wala hana chain ya kumfanya ajue huko mwanzo kulikuwa na nini,ndiyo maana kuna baadhi ya Wanasayansi wanashauri wazo hili lipitiwe upya sababu ni la kijinga kupata kutokea.
Kwamba kipindi bing bang inafanyika huu ulimwengu ulikuwepo?
Kwami Big Bang inaelezea nini ? Hivi unajua unachokiuliza ?
 
Unachokosea hii makala ungeiandika kwa kiswahili yote ili watu wote waelewe
 
Kuna hoja gani ambayo wewe uliijenga kwenye andiko lako kwamba yislam ulikuwepo tangu enzi za adam?

Kama hiyo ni hoja basi utofauti upo katika definition ya neno hoja
Hoja niliyo ijenga ni kuwa hakuna Mtume wala nabii ambaye si Muislamum sasa wewe ulitakiwa upinge kwa hoja kuwa siyo kweli.

Ndiyo maana kwa mtu ambaye anajua akijenga hoja lazima akuulize unaongelea Uislamu wa jumla au Uislamu Khasa sababu Uislamu upo.

Sasa jenga hoja na uoinge kwa hoja.
 
Hii dunia itafika wakati vizazi vya karne kumi zijazo watakuwa wanatushangaa sisi ni vp tuliamini Mungu ni muumba wa ulimwengu kama sisi tunavovishangaa vizazi vya karne 10 nyuma ni vipi waliamini kuwa mawe, miti na milima ndio miungu iliyowatatulia shida zao.
Vizazi vya sasa vimeshakubali kuwa mungu utawala wake si wa hapa duniani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kabla ya the big bang mass zote zilikuwa Collapsed into SINGULARITY katika Black hole, katika hali hiyo huwezi kusema kulikuwepo na Heaven na earth etc wakati all the masses and Energies of all forms were pressed into Black hole to form "Singularity", ni hiyo singularity ndiyo iliyolipuka (big banged) na kuzaliwa the all heavenly bodies (Heavens and the earth in particular), ni kutokana na huo mlipuko ndio maana Heavens and the earth (to be precise the all heavenly bodies) are moving away from the centre of the explosion (the centre of the big bang).

Ninaposema mass zote na all forms of energies were Collapsed into singularity mtu anaweza kuuliza je hiyo singularity ilikuwa katika hali gani?? --- Katika Liquid, Solid, gases, plasma au in some form of energies etc???---labda science iendelee kutafiti na kutuambia ilikuwa katika form ipi kwani Qur'an mara nyingi huweka msingi wa somo kwa ajili yetu kwani kama Qur'an ingaliandika kila kitu in detail basi ingehitajika gari la kuibeba na hata kuisoma ingalikuwa shida na sijui kama angepatikana mtu aliyeihifadhi yote.

Juu ya yote Qur'an bado inatuhabarisha kwamba hii universe inayo expand itarudishwa nyuma (recoil) na kuingia ndani ya black hole na kuripuka tena (big banged) na hali hiyo itakuwa recurring hadi pale Allah atakapo penda vinginevyo, hebu soma aya hii;

"Remember the day We shall roll up the heavens like the rolling up of Scrolls, As we began the first creation, so shall We repeat it; a promise binding on us; We shall certainly fulfil."

Qur'an (21:105).

Ile Singularity katika black hole hapa Allah ameiita: "the first creation ".
Nakunukuu

Kabla ya the big bang mass zote zilikuwa Collapsed into SINGULARITY katika Black hole, katika hali hiyo huwezi kusema kulikuwepo na Heaven na earth etc wakati all the masses and Energies of all forms were pressed into Black hole to form "Singularity",

Nakubaliana na wewe kwa nukuu yako hapo juu

Quran imetaja heaven na earth ambazo mimi na wewe tunakubalina kwamba hazikuwepo kipindi bing bang inatokea,

sasa kuoanisha hizo aya zilizotaja earth and heaven kwamba Quran ilikuwa inazungumzia bing bang huoni kwamba unakuwa unafanya kosa kwasababu tangu earth na heaven vi exist bing bang ilikuwa tayari ishafanyika way back huko?
 
Ukimuona kafiri ujue huyo si Muislamu,bali wapo wanao jinasibisha na Uislamu lakini siyo Waislamu. Mfano wao ni Makadiani na Mashia.

Siyo kwa mujibu wa maelezo yangu,msilolijua ni kuwa Qur'aan alishaifasiri/fasili mtume ndani ya miaka 23. Kwahiyo nacho kusaidia wewe ni kuwa rejea katika vitabu vya Tafsiri ya Qur'aan usome ili ujue Mtume aliifasiri vipi hiyo aya na Mmaswahaba zake waliielewa vipi na kuifanyia kazi vipi. Kwa kukusaidia tena soma Tafsiri ya Ibn Kathiri. Hawa wanao leta Tafsiri zao tunawaaita wajiitao "Watetezi wa Uislamu" na Uislamu hawaujui.
Kwa hiyo makadian na mashia sio waislamu?

Kuna haja gani ya kurejea vitabu vya tafsiri wakati kilichoandikwa kipo katika lugha ambayo ni familiar wote tunaweza tukaelewa kilichoandikwa?

Kwamba wewe ukiona neno earth and heaven utahitaji kufungua makrabrasha ya vitabu vingine vya tafsiri ili uelewe heaven and earth maana yake nini?
 
Hivi unaelewa msingi wa chanzo au unajua chanzo ni nini ? Usiulize maswali ya kitoto au huijui Big Bang ?

Big Bang yenyewe inajielezea kwa uwazi kwa kuelezea mchakato wa kutokea kwa dunia kidogo kidogo/taratibu (Gradually).

Kingine Big Bang ni wazo la mtu kujaribu kuelezea namna gani dunia imekuwa,na hakuweza kuelezea chanzo cha dunia sababu hakuwepo wala hana chain ya kumfanya ajue huko mwanzo kulikuwa na nini,ndiyo maana kuna baadhi ya Wanasayansi wanashauri wazo hili lipitiwe upya sababu ni la kijinga kupata kutokea.

Kwami Big Bang inaelezea nini ? Hivi unajua unachokiuliza ?
Nimeuliza hiyo hoja ya kusema bing bang haielezei chanzo cha ulimwengu umeipatia wapi?

Bing bang ndio formation ya universe sio dunia, ukisema bing bang ni mwanzo wa dunia utajikuta baadae unashindwa kuelezea galaxy zingine na nyota zimetokeaje

Kwani wazo la mtu haliwezi kuwa kweli?

We mbona umenielekeza kwenye vitabu vya tafsiri ili kupata maana ya kweli iliyo zungumziwa kwenye Quran? Hivyo vitabu vineandikwa na nani?
 
SIO KWELI KWAMBA Universe (heavens in this case) ina expand at the speed of light, nani kasema hicho kitu???---- ni photons tu ndiyo particle inayo kimbia kwa speed ya light, na light constitutes photons they move at such speed because they have no rest mass (photons) are not matters but Heavens/heavenly bodies are matters.
duh unabisha kabisa kwa herufi kubwa hahah hatuendi ivyo mkuu,, fanya kwanza research...mzee hii universe inaexpand na haina constant spee, lakini nyota za karibu ziko slow ukilinganisha na zile galaxy za mbali kabisa amabazo zinaenda speed kuliko hizi za karibu na hizo za mbali zipo zinaenda faster than light yaan maana yake kuna nyota zinatuacha kuliko mwanga wake unavyotufata maana yake kuna nyota hatutaziona milele maana mwanga wake hautatufikia milele na milele maana yake baada ya miaka mingi nyota zitazidi kupungua angani...maana yake miaka ya zamani nyota zilikuwa nyingi zaidi angani kuliko leo,,maana yake sekunde za zamani zilikuwa ni ndefu kuliko sekunde za leo(hata sekunde 1 ya jana ilikuwa ndefu kuliko sekunde 1 ya leo)

Sasa ukishafatilia hayo nliyokuelekeza na kuyaelewa naomba urudi hapa unijibu swali langu...
Hizo galaxies/heavens zinazotuacha faster kuliko mwanga zimewezaje kufanya hivyo?
 
Nilikua sijui kama ndani ya waislamu kuna makafiri tena, nikimtag Mokaze sijui ata react vipi kuona silaha ambayo mmekuwa mkiitumia kwetu leo imemgeukia yeye. Bora sijamtag

Anyway, ebu niambie kwa mujibu wa maelezo yako ike aya Quran 21:30 imezungumzia kitu gani ambacho kwa mujibu wako sio bing bang?

Hiyo ndio shida ya "Waisilamu jina" kujifanya kuujua Uisilamu na kujipachika vyeo vya kukufurisha wenzao wakidhani Uisilamu ni mali walizorithi kutoka kwa Babu zao, midomo yao ni michafu kutusi watu, elimu zao za madrasa zimewapa kiburi wakidhani kujua elimu za madrasa ndio kujua kila kitu. Hao ndio kina boko haramu, Isis, Alshabab, Alqaida eti ndio watetezi wa Uisilamu. Kwao Uisilamu ni siasa kali na kujeruhi wengine kwa matukano na takfir kwao ni lugha nyepesi dhidi ya wenzao kama kunywa alkasusu katika vijiwe vya kahawa na hata kwao kukunyofoa shingo sio shida.

Hiyo ndio hali ya waislamu jina hivi sasa.
 
Hoja niliyo ijenga ni kuwa hakuna Mtume wala nabii ambaye si Muislamum sasa wewe ulitakiwa upinge kwa hoja kuwa siyo kweli.

Ndiyo maana kwa mtu ambaye anajua akijenga hoja lazima akuulize unaongelea Uislamu wa jumla au Uislamu Khasa sababu Uislamu upo.

Sasa jenga hoja na uoinge kwa hoja.
Hiyo sio hoja, na hiyo inatokana na namna ambavyo wewe umeamua kulitafsiri neno uislam

Ni sawa na mimi niseme neno "mtu nwenye akili" liwe na maana ni yeyote anayekubaliana na mawazo yangu, kwa maana hiyo utakubali tafsiri hiyo?
 
Hiyo ndio shida ya "Waisilamu jina" kujifanya kuujua Uisilamu na kujipachika vyeo vya kukufurisha wenzao wakidhani Uisilamu ni mali walizorithi kutoka kwa Babu zao, midomo yao ni michafu kutusi watu, elimu zao za madrasa zimewapa kiburi wakidhani kujua elimu za madrasa ndio kujua kila kitu. Hao ndio kina boko haramu, Isis, Alshabab, Alqaida eti ndio watetezi wa Uisilamu. Kwao Uisilamu ni siasa kali na kujeruhi wengine kwa matukano na takfir kwao ni lugha nyepesi dhidi ya wenzao kama kunywa alkasusu katika vijiwe vya kahawa na hata kwao kukunyofoa shingo sio shida.

Hiyo ndio hali ya waislamu jina hivi sasa.
Huyo jamaa ni wakumuepuka sana ikiwezekana mnipe hata address yake ili nisije niksjichanganya nikapita anga zake aanze kunikimbiza na mapanga kwa lengo la kupata thwawabu akimuua kafir

Watu kama hawa wakipata madaraka makubwa wanaweza kuifanya hii nchi kuwa ngumu sana na sio sehemu nzuri ya kuishi mtu mwenye kupenda uhuru

Yani kupitia maandishi tu unapata picha halisi ya roho mbaya aliyo nayo, ni mtu fulani asiyependa challenge anataka anachosema yeye kikubalike moja kwa moja na ndio maana unamuona akitoa maneno ya kuudhi
 
Nimeuliza hiyo hoja ya kusema bing bang haielezei chanzo cha ulimwengu umeipatia wapi?

Bing bang ndio formation ya universe sio dunia, ukisema bing bang ni mwanzo wa dunia utajikuta baadae unashindwa kuelezea galaxy zingine na nyota zimetokeaje

Kwani wazo la mtu haliwezi kuwa kweli?

We mbona umenielekeza kwenye vitabu vya tafsiri ili kupata maana ya kweli iliyo zungumziwa kwenye Quran? Hivyo vitabu vineandikwa na nani?
Yaani kazi kweli kweli Mkuu Hawa viumbe vitabu vyao Ili ujue ni empty kabisa utaona jinsi Gani wanavyozungumzia mwanzo wa Dunia Kwa hoja mufilisi,
Wao wanaamini Dunia iliumbwa na huyo Mungu wao ndio zikaja nyota na mwezi kitu ambacho ni kichekesho Cha Karne,
Hawajui Earth ni sehemu ndogo Sana Sana katika mfumo wa Galaxies Yaani Ili ujue hekaya zao ni mufilisi ni pale wanaposema ilianza kuumbwa Dunia na mbingu
😁😁😁😁😁
 
duh unabisha kabisa kwa herufi kubwa hahah hatuendi ivyo mkuu,, fanya kwanza research...mzee hii universe inaexpand na haina constant spee, lakini nyota za karibu ziko slow ukilinganisha na zile galaxy za mbali kabisa amabazo zinaenda speed kuliko hizi za karibu na hizo za mbali zipo zinaenda faster than light yaan maana yake kuna nyota zinatuacha kuliko mwanga wake unavyotufata maana yake kuna nyota hatutaziona milele maana mwanga wake hautatufikia milele na milele maana yake baada ya miaka mingi nyota zitazidi kupungua angani...maana yake miaka ya zamani nyota zilikuwa nyingi zaidi angani kuliko leo,,maana yake sekunde za zamani zilikuwa ni ndefu kuliko sekunde za leo(hata sekunde 1 ya jana ilikuwa ndefu kuliko sekunde 1 ya leo)

Sasa ukishafatilia hayo nliyokuelekeza na kuyaelewa naomba urudi hapa unijibu swali langu...
Hizo galaxies/heavens zinazotuacha faster kuliko mwanga zimewezaje kufanya hivyo?

Narudia kusema; HAKUNA MATTER YOYOTE yenye REST MASS inayoweza kukimbia kwa speed ya Mwanga, never ever, hicho ndicho ninachosema, mfano haiwezekani gari au jiwe au risasi au ndege ambavyo ni Matter ziweze kukimbia at light speed "C".

Hapa tunazungumzia juu ya "the expanding speed of the universe" kwamba je, Universe ina expand kwa speed ya light?? na wala hatuzungumzii juu ya speed ya light inayotoka kwenye nyota, speed ya light kutoka kwenye nyota ni hiyo hiyo "C" na speed hiyo ni tofauti na speed ya Expansion of the universe which is less than "C".

Nadhani utakuwa umenipata.
 
Back
Top Bottom