isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
- Thread starter
-
- #81
Umenichekesha 😁hakika naona anakaribia kumfunga paka kengele[emoji4]
Ni kweli kabisa wareno wanasema kihispanyol ni kireno kinachoongelewa haraka haraka,mfano hicho kuhispanyol kwa kireno angendika hivi:Hay una pequeña diferencia entre estos dos idiomas.
Es por eso que entiendo un pequeño significado de tus palabras.
💯 Na moja ya ajabu kuna baadhi hushindwa kun'gamua kwa pande zote mbili. All in all ndio lugha hizo kama navyoskia Kifaransa watu wanacheza singeli masikioni kwangu.Ni kweli kabisa wareno wanasema kihispanyol ni kireno kinachoongelewa haraka haraka,mfano hicho kuhispanyol kwa kireno angendika hivi:
Há uma pequena differença entre estas duas idiomas
e por isso que entendo um poquinho o significado das tuas palavras
waksti niko Paraguai walikuwa wakiniita Neymar kwasababu mi nswsongelesha kireno wao wananijibu kwa kuhispanyol😂😂😂😂
nslog off
Ndiyo mimi.Samahani boss nje ya mada kidogo,Wewe ndo chamoto wa kule Skyscrapercity?
Shukrani kwa hilo somo mkuu, sikua najua hiloJina rasmi na linalotambulika kimataifa sio Tanzania hakuna taifa linaitwa Tanzania bali "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"
Vivyo hivyo Venezuela ni initial jina rasmi ni "Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela" hii imetokana na mataifa ya ukanda huu kuipatia heshima iliyokuwa Bolivia iliyowaunganisha.
Bolivia unayoisema wewe ni "Plurinational State of Bolivia" au "Estado Plurinacional de Bolivia" ndivyo inavyotambuliwa kimataifa.
Unaposema Manchester bila kumalizia Football Club, kama sio mpenzi wa mpira nitafahamu unaeleza Manchester mji uliopo Uingereza.
Umeeleweka vyema kiongoziHii ni kutokana mVenezuela, Simón José Antonio de la Santísima Trinidad Bolívar y Palacios Ponte-Andrade y Branco simply Simón Bolívar kuzipambania Venezuela, Bolivia, Colombia, Panama na Peru kutoka katika ukoloni wa Uhispania.
Bolívar alikuwa akisuka vikosi na mapambano akitokea Bolivia ambayo haikuwa imebanwa sana hadi kupelekea Uhuru wa mataifa hayo.
Case study ni sawa leo hii Afrika ya Kusini ijiite Jamhuri ya Tanzania ya Afrika Kusini au Jamhuri ya Tanzania ya Zimbabwe.
Hongera boss kwa hatua uliyofikia.Ndiyo mimi.
Hatua gani hiyo tena?Hongera boss kwa hatua uliyofikia.
Sijui hatua gani ila mi nakuona umepiga hatua.Hatua gani hiyo tena?
Unanifanya nijiangalie kinyume nyume sasa...🙂. Kivyovyote vile Mungu ni mwema.Sijui hatua gani ila mi nakuona umepiga hatua.
😂😂😂Sijui hatua gani ila mi nakuona umepiga hatua.
Shukran mkuu nimeweka kwenye file langu! Nitautumia!
Hongera! Mkuu,Miaka kama kumi na na nne iliyopita niliwahi kutembelea mji mmoja wa Guiria kutokea University of Trinidad and Tobago. Pale nilikuwa mgeni wa professor mmoja wa kihindi niliyekuwa nimekutana naye kwenye mkutano mmoja huko Houston mwaka 2004 na akanikaribisha niongee na wanafunzi wake, ingawa baadaye niligundua kuwa maprofessor wengi na malecturer pale chuoni ni wahindi, kwa hiyo nadhani aliamini kuwa mimi mwafrika ninaweza kusaidia kuwahamsisha sana watoto weusi ambao ndio wengi pale kisiwani (ni hisia zangu tu). Baada ya presentation zangu za madarasani kwa siku mbili na public seminar walinipeleka kwenye sight seeing trips kadhaa na mojawapo ulikuwa mji fulani unaitwa Guiria ndani ya Venezuela. Kitu cha ajabu ni kuwa kuingia Guiria kutoka Trinidad and Tobago ilikuwa siyo tatizo iwapo passport yako siyo ya zile nchi zinazoitwa za kibeberu. Kwa hiyo passport yangu ya Tanzania ilikuwa inaniruhusu kuingia Guiria, ila huwezi kuvuka mipaka ya Guria kwenda ndani zaidi. Mambo niliyojifunza mjini pale ni kuwa watu wale wa Venezuela walikuwa wanapenda sana kusocialize na kula raha ila hawakuwa na hela ya kutosha; ukiwa na hela ya kutumia pamoja nao mtatumia sana.
Wanadai licha ya kuwa na "Reserve kubwa sana sana ya OIl na Dhahabu kuliko nchi zote Duniani", pia wamebarikiwa kuwa na wanawake wazuri sana sana ...
Halafu nimeshangazwa picha moja kuna vijana weusi kabisa, hii imekaaje mtoa madaNashangaa kuiita Jamhuri ya "Bolivia ya Venezuela"
Hamna vijana weusi, bali vijana wenye asili ya Afrika ambao kiuhalisia wapo wengi sana katika mabara ya Amerika baada ya Afrika.Halafu nimeshangazwa picha moja kuna vijana weusi kabisa, hii imekaaje mtoa mada
Vipi hali ya ubaguzi hukoHamna vijana weusi, bali vijana wenye asili ya Afrika ambao kiuhalisia wapo wengi sana katika mabara ya Amerika baada ya Afrika.
Vijana katika picha ni waVenezuela.