isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
- Thread starter
- #81
Umenichekesha 😁hakika naona anakaribia kumfunga paka kengele[emoji4]
Lakini kiuhalisia nikweli, kuona hadi Afrika Kusini, Beralus, Bolivia na Morocco wanasimama jua ukweli daima utaishi.