Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela | República Bolivariana de Venezuela

Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela | República Bolivariana de Venezuela

Hay una pequeña diferencia entre estos dos idiomas.

Es por eso que entiendo un pequeño significado de tus palabras.
Ni kweli kabisa wareno wanasema kihispanyol ni kireno kinachoongelewa haraka haraka,mfano hicho kuhispanyol kwa kireno angendika hivi:

Há uma pequena differença entre estas duas idiomas
e por isso que entendo um poquinho o significado das tuas palavras

waksti niko Paraguai walikuwa wakiniita Neymar kwasababu mi nswsongelesha kireno wao wananijibu kwa kuhispanyol😂😂😂😂
nslog off
 
Ni kweli kabisa wareno wanasema kihispanyol ni kireno kinachoongelewa haraka haraka,mfano hicho kuhispanyol kwa kireno angendika hivi:

Há uma pequena differença entre estas duas idiomas
e por isso que entendo um poquinho o significado das tuas palavras

waksti niko Paraguai walikuwa wakiniita Neymar kwasababu mi nswsongelesha kireno wao wananijibu kwa kuhispanyol😂😂😂😂
nslog off
💯 Na moja ya ajabu kuna baadhi hushindwa kun'gamua kwa pande zote mbili. All in all ndio lugha hizo kama navyoskia Kifaransa watu wanacheza singeli masikioni kwangu.
 
Ninaomba Mungu aniongezeye umri kidogo na janga la corona liishe na kusahaulika
Lazima nitinge North Korea na kwa mzee moduro!
Mkuu huu unyowaji ulikuwa advance kuliko wa Kim!
Tafadhali tupatie history fupi ya huyu mtu!
Screenshot_20200529_044452.jpg
 
Jina rasmi na linalotambulika kimataifa sio Tanzania hakuna taifa linaitwa Tanzania bali "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"

Vivyo hivyo Venezuela ni initial jina rasmi ni "Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela" hii imetokana na mataifa ya ukanda huu kuipatia heshima iliyokuwa Bolivia iliyowaunganisha.

Bolivia unayoisema wewe ni "Plurinational State of Bolivia" au "Estado Plurinacional de Bolivia" ndivyo inavyotambuliwa kimataifa.

Unaposema Manchester bila kumalizia Football Club, kama sio mpenzi wa mpira nitafahamu unaeleza Manchester mji uliopo Uingereza.
Shukrani kwa hilo somo mkuu, sikua najua hilo
 
Hii ni kutokana mVenezuela, Simón José Antonio de la Santísima Trinidad Bolívar y Palacios Ponte-Andrade y Branco simply Simón Bolívar kuzipambania Venezuela, Bolivia, Colombia, Panama na Peru kutoka katika ukoloni wa Uhispania.

Bolívar alikuwa akisuka vikosi na mapambano akitokea Bolivia ambayo haikuwa imebanwa sana hadi kupelekea Uhuru wa mataifa hayo.

Case study ni sawa leo hii Afrika ya Kusini ijiite Jamhuri ya Tanzania ya Afrika Kusini au Jamhuri ya Tanzania ya Zimbabwe.
Umeeleweka vyema kiongozi
 
Miaka kama kumi na na nne iliyopita niliwahi kutembelea mji mmoja wa Guiria kutokea University of Trinidad and Tobago. Pale nilikuwa mgeni wa professor mmoja wa kihindi niliyekuwa nimekutana naye kwenye mkutano mmoja huko Houston mwaka 2004 na akanikaribisha niongee na wanafunzi wake, ingawa baadaye niligundua kuwa maprofessor wengi na malecturer pale chuoni ni wahindi, kwa hiyo nadhani aliamini kuwa mimi mwafrika ninaweza kusaidia kuwahamsisha sana watoto weusi ambao ndio wengi pale kisiwani (ni hisia zangu tu). Baada ya presentation zangu za madarasani kwa siku mbili na public seminar walinipeleka kwenye sight seeing trips kadhaa na mojawapo ulikuwa mji fulani unaitwa Guiria ndani ya Venezuela. Kitu cha ajabu ni kuwa kuingia Guiria kutoka Trinidad and Tobago ilikuwa siyo tatizo iwapo passport yako siyo ya zile nchi zinazoitwa za kibeberu. Kwa hiyo passport yangu ya Tanzania ilikuwa inaniruhusu kuingia Guiria, ila huwezi kuvuka mipaka ya Guria kwenda ndani zaidi. Mambo niliyojifunza mjini pale ni kuwa watu wale wa Venezuela walikuwa wanapenda sana kusocialize na kula raha ila hawakuwa na hela ya kutosha; ukiwa na hela ya kutumia pamoja nao mtatumia sana.
Hongera! Mkuu,

Tutaenda wote Trinidad na Tobago Virtual Tour 😊
 
Halafu nimeshangazwa picha moja kuna vijana weusi kabisa, hii imekaaje mtoa mada
Hamna vijana weusi, bali vijana wenye asili ya Afrika ambao kiuhalisia wapo wengi sana katika mabara ya Amerika baada ya Afrika.

Vijana katika picha ni waVenezuela.
 
Hamna vijana weusi, bali vijana wenye asili ya Afrika ambao kiuhalisia wapo wengi sana katika mabara ya Amerika baada ya Afrika.

Vijana katika picha ni waVenezuela.
Vipi hali ya ubaguzi huko
 
Back
Top Bottom