Hypersonic WMD JF-Expert Member Joined Apr 11, 2024 Posts 1,337 Reaction score 1,876 Aug 28, 2024 #1 Sasa ivi hii platform hovyo sana! Kila nyuzi wanafuta!! Hata nyuzi zisizo za siasa!! Maoni binafsi story binafsi Yaan kifupi wanataka kila mtu awe mwandishi wa habar siyo sehemu tena ya ku interact. Good luck Jf Nawa tabiria kifo by 2030
Sasa ivi hii platform hovyo sana! Kila nyuzi wanafuta!! Hata nyuzi zisizo za siasa!! Maoni binafsi story binafsi Yaan kifupi wanataka kila mtu awe mwandishi wa habar siyo sehemu tena ya ku interact. Good luck Jf Nawa tabiria kifo by 2030
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 4,072 Reaction score 12,119 Aug 28, 2024 #2 Wanalinda ugali wao mkuu. Si unajua nchi hii ni ya ujamaa bdo? Wanatii mamlaka!
Uhakiki JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,288 Reaction score 7,704 Aug 28, 2024 #3 mcTobby said: Wanalinda ugali wao mkuu. Si unajua nchi hii ni ya ujamaa bdo? Wanatii mamlaka! Click to expand... Dalili hizi sio njema, Melo anaweza kutufini muda wowote.
mcTobby said: Wanalinda ugali wao mkuu. Si unajua nchi hii ni ya ujamaa bdo? Wanatii mamlaka! Click to expand... Dalili hizi sio njema, Melo anaweza kutufini muda wowote.
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 8,447 Reaction score 19,425 Aug 28, 2024 #4 Wameamua kuunga mkono juhudi yasiwakute ya bwana Pavel Durov