Jamii forum Inafanya sensorship na filter kubwa sana siku hizi!! Si sehemu huria kama mwanzo

Jamii forum Inafanya sensorship na filter kubwa sana siku hizi!! Si sehemu huria kama mwanzo

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Sasa ivi hii platform hovyo sana!
Kila nyuzi wanafuta!!
Hata nyuzi zisizo za siasa!!
Maoni binafsi
story binafsi
Yaan kifupi wanataka kila mtu awe mwandishi wa habar siyo sehemu tena ya ku interact.

Good luck Jf Nawa tabiria kifo by 2030
 
Wanalinda ugali wao mkuu. Si unajua nchi hii ni ya ujamaa bdo? Wanatii mamlaka!
 
Back
Top Bottom