Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

Status
Not open for further replies.

Pumbavu mwenyewe. Usitukane watu matusi kama ulivyofanya. Tumia akili ki hoja
mheshimiwa Paul Makonda kapigwa marufuku asiingie marekani kwa sababu aliukemia usenge
Ulaya na marekani wsnamtia pressure raidi wa Uganda Museveni na kumtishia wamfungue misaada mpaka auruhusu haki ya usenge.
Mapadri sasa akiwa senge mnasema oyeee..
 
Nasikia waarabu wanapenda sana hako kamchezo na wanawake wengi sana waarabu, wasomali etc ndio burudani yao ili watunze bikra kwa akina Abdul na Mwamedi
 
Waislamu wa Buza mnasemaje kuhusu hili?
Mmewasema Sana wstu wa upande wa pili kumbe na ninyi mnapenda kupilibwa?
Heko waislamu mmeonyesha your true colours.
 
Mbona unautetea ? Wewe kama wewe unamsimamo gani?
Unatakaa huu usenge wa kifirana uweje? Wewe unasupport au unapinga?
Kila mtu na starehe yake, ww hujawahi kula tigo?? Tuache unafiki tena hawa wanaoongeaongea ndio wadau wakubwa, anehukumu ni Mungu, kama mnataka kudeal na dhambi basi komaeni mafisadi na wahujumu uchumi, watu wanadhulumiwa haki zao na mmetulia tuu. Kwani ww inakukela nini? Wacha watu wafanye mambo yao kikubwa usiri wasikere mtu, ila komaeni na wezi wa mali za nchi leteni maendeleo ya nchi. Habari za hukumu muachieni Mungu mwenyewe
 
Ndugu zako haoo unawakataa Leo? Dini haimfikishi MTU mbinguni Bali Imani yake
 
Hii haina tofauti ni ile kesi ya kanisa katoliki na wakristo wazungu wanaokubali mashoga...

Ni baadhi ya waislamu walioamua kutafsiri Quran kwa mtazamo wao.

Haimaanishi waislamu wote wanakubali ushoga.
Hakuna alotafsiri qur an hapo qur an ipo wazi kwamba ndoa kati ya me na ke na ili ndoa isihi kitu cha mwanzo kuwepo ke na me halafu mengine yanafuatia
 
Sio Waislam ni watu wa Dini gani? Huyo mmoja amekiri kabisa ingawa ni Muislam lakini anapenda Usawa

Yeye akubali kuwa ni Muislam, wewe ukatae...are you serious???
Uislamu ili uukiri unatakiwa uufuate na kuufuata uislamu ni kuamini katika usawa wa kijinsia au mahusiano na mahusiano halali ya kindoa na ndoa ni kati ya me na ke katika uislam na unapopinga aya moja tu katika Quran kwa kujua na kwa makusudi basi umekufuru wengine wanasema umejitoa katika uislamu
 
Uislamu ulishakamilika miaka zaidi ya elfu moja nyuma s a w ndio mtume wa mwisho hao wahuni walikuepo tokea kipindi cha s a w walijifanya waislam kumbe wanafiq hapo hakuna jipya uislamu upo imara sana
 
Yes, that's true
 
Uislamu ulishakamilika miaka zaidi ya elfu moja nyuma s a w ndio mtume wa mwisho hao wahuni walikuepo tokea kipindi cha s a w walijifanya waislam kumbe wanafiq hapo hakuna jipya uislamu upo imara sana
Mnapiga Qaswida na kutaka mauno? Ila haya mambo ngoja niwaachie wenyewe pambaneni na hali zenu
 
Hao sio waislamu, ni kikundi cha wahuni ambao wanaeneza propaganda za ushoga kwa mgongo wa dini.
Mtasema hivyo km mnavyosema vikundi vya kigaidi sio vya kiislam! Mbona vina jina la alaah? Alshabab, alquida, hesbolah, nk?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…