Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

Status
Not open for further replies.
Mnapotosha makusudi kwa faida ya nani? Ukristo upi umeruhusu ushoga? Msingi wa Ukristo ni Kristo na sio Papa kwani Papa hana influence yoyote kwenye makanisa mengine zaidi ya Roman peke yake. Na hilo mnafahamu.

Sisi waprotestant hatujui wala hatuhusiki na tamko la Papa. Huwa nawashangaa sana nyie manyangau kila siku Ukristo umeruhusu ushoga na huleti haya hata moja toka kwenye Biblia inayoruhusu ushoga huku mkipambana kuficha tabia za kishoga zinazofanywa na waislamu kwa kuwakataa kuwa sio waislamu.

Mbona mashehe mashoga yapo mengi na yamefunga ndoa msikitini?

Pumbavu huwa mnakera.

Pumbavu mwenyewe. Usitukane watu matusi kama ulivyofanya. Tumia akili ki hoja
mheshimiwa Paul Makonda kapigwa marufuku asiingie marekani kwa sababu aliukemia usenge
Ulaya na marekani wsnamtia pressure raidi wa Uganda Museveni na kumtishia wamfungue misaada mpaka auruhusu haki ya usenge.
Mapadri sasa akiwa senge mnasema oyeee..
 
Nasikia waarabu wanapenda sana hako kamchezo na wanawake wengi sana waarabu, wasomali etc ndio burudani yao ili watunze bikra kwa akina Abdul na Mwamedi
 
Waislamu wa Buza mnasemaje kuhusu hili?
Mmewasema Sana wstu wa upande wa pili kumbe na ninyi mnapenda kupilibwa?
Heko waislamu mmeonyesha your true colours.
 
Mbona unautetea ? Wewe kama wewe unamsimamo gani?
Unatakaa huu usenge wa kifirana uweje? Wewe unasupport au unapinga?
Kila mtu na starehe yake, ww hujawahi kula tigo?? Tuache unafiki tena hawa wanaoongeaongea ndio wadau wakubwa, anehukumu ni Mungu, kama mnataka kudeal na dhambi basi komaeni mafisadi na wahujumu uchumi, watu wanadhulumiwa haki zao na mmetulia tuu. Kwani ww inakukela nini? Wacha watu wafanye mambo yao kikubwa usiri wasikere mtu, ila komaeni na wezi wa mali za nchi leteni maendeleo ya nchi. Habari za hukumu muachieni Mungu mwenyewe
 
Hao si waislam, ni kikundi kidogo cha wahuni tu ambao wamejikusanya na kufanya huu upuuzi hapo,,
Kwani uislamu unasemaji juu ya mashoga,?
MFANYAJI NA MFANYWAJI WOTE WAPIGWE MAWE HADI KUFA, sasa kama ndio ipo hivyo hao wahuni wanatoka wapi na wanatumia kigezo gani,,,
Hata kwa picha tu unaona kabisa kuwa ni uongo huo unatengenezwa na kupewa nguvu na media
Ndugu zako haoo unawakataa Leo? Dini haimfikishi MTU mbinguni Bali Imani yake
 
Hii haina tofauti ni ile kesi ya kanisa katoliki na wakristo wazungu wanaokubali mashoga...

Ni baadhi ya waislamu walioamua kutafsiri Quran kwa mtazamo wao.

Haimaanishi waislamu wote wanakubali ushoga.
Hakuna alotafsiri qur an hapo qur an ipo wazi kwamba ndoa kati ya me na ke na ili ndoa isihi kitu cha mwanzo kuwepo ke na me halafu mengine yanafuatia
 
Sio Waislam ni watu wa Dini gani? Huyo mmoja amekiri kabisa ingawa ni Muislam lakini anapenda Usawa

Yeye akubali kuwa ni Muislam, wewe ukatae...are you serious???
Uislamu ili uukiri unatakiwa uufuate na kuufuata uislamu ni kuamini katika usawa wa kijinsia au mahusiano na mahusiano halali ya kindoa na ndoa ni kati ya me na ke katika uislam na unapopinga aya moja tu katika Quran kwa kujua na kwa makusudi basi umekufuru wengine wanasema umejitoa katika uislamu
 
Katika vitu ambavyo ulimwemgu wa dini hauwezi pambana nao ni MUDA. Muda ni jibu zuri kwa kila jambo chini ya jua.

Leo kumeshakuwa na mitume na manabii ndani ya uislam. Kumeshakuwa na uimbaji wa kaswida wa hovyo tena wanakata mauno kama miziki ya kidunia. Sasa kuna mafuta na maji ya upako misikitini.

Hata kama mnatumia nguvu nyingi kupambana na hivyo vitu ila muda ni jibu la mambo yote.

Tuombe uzima huku yetu yakiwa macho na masikio. Tutaona na kusikia zaidi ya hayo.
Uislamu ulishakamilika miaka zaidi ya elfu moja nyuma s a w ndio mtume wa mwisho hao wahuni walikuepo tokea kipindi cha s a w walijifanya waislam kumbe wanafiq hapo hakuna jipya uislamu upo imara sana
 
Wote (mashoga na wasagaji) wote wanaenda kinyume na tabia ya kimaumbile (fitrah) ambayo Mwenyezi Mungu ameiumba kwa wanadamu - na pia katika wanyama - ambapo mwanamume anaelekea kwa jike, na kinyume chake.

Yeyote anayekwenda kinyume na hayo anaenda kinyume na tabia ya asili ya mwanadamu, fitrah.
Hatari za ushoga na usagaji
Yes, that's true
 
Uislamu ulishakamilika miaka zaidi ya elfu moja nyuma s a w ndio mtume wa mwisho hao wahuni walikuepo tokea kipindi cha s a w walijifanya waislam kumbe wanafiq hapo hakuna jipya uislamu upo imara sana
Mnapiga Qaswida na kutaka mauno? Ila haya mambo ngoja niwaachie wenyewe pambaneni na hali zenu
 
Hao sio waislamu, ni kikundi cha wahuni ambao wanaeneza propaganda za ushoga kwa mgongo wa dini.
Mtasema hivyo km mnavyosema vikundi vya kigaidi sio vya kiislam! Mbona vina jina la alaah? Alshabab, alquida, hesbolah, nk?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom