Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Wanajitekenya ndio maana wanatumia nguvu kubwa kusafisha hayo mambo ila yapo na yatakuwepo. Sasa kuna movement ya Waislamu kula nguruwe. Hiyo wataipinga.tatizo waislam ni wabishi hawajui nyakati, ukiwaambia hata dini yao itaathiriwa na nyakati wao husema uislam hautabadilika