Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Hapana

Yani point ni kwamba mama yake anapambana lenyewe Linawaza kupata mtoto.

Bora alipeleke kwa baba yake maana akizalisha mtu lazima mama yake dunia itampa mzigo kua yeye ni vyanzo.
Na sijui kwanini vijana wakiwazalisha mabinti mama zao wanawajali na kugharamia

Lakini binti akizalishwa anaambiwa aende kwa jamaa au atafute pa kwenda🤦🏽‍♀️
 
Narudia kusema unaongea nadharia sana kuliko uhalisia. Ustawi wa jamii wamejaa wanawake ambao mawazo yao ni ya kifeminist, walishakaririshwa wanawake wanateswa kwa hiyo wapo pale kutetea haki za wanawake na siyo ustawi wa familia na watoto. Hizi nchi maskini hakuna ustawi wala maendeleo ila muunganiko wa feminists kwa ajili ya haki za wanawake ndo maana wanaume wengi wanaamua kukaa pembeni.

Hiyo sheria ilitingwa kwa context ya ki feminist na waliassume wanaume hawana uwezo wa kulea mtoto mdogo anayenyonya. Hiyo imewapa fursa wanawake kuitumia vibaya kwa kushirikiana na hao maafisa ustawi wa jamii ambao asilimia kubwa ni wanawake Kwani hatuoni wanawake wanaowaachisha watoto wao kabla ya umri?

Yaani nguvu unazozitumia kuwatetea single mothers, ungezitumia kuwashauri waache ujinga
 
Sawa umeeleweka mkuu!
 
Ulienda mahakamani ukanyimwa mtoto?

Hao wanaolelewa bila Baba, Baba zao wakuwapi? Walikufa?
Acha mambo yako usizungumzie hila za wamatumbi kama upo new Jersey

Hawa kenge wametoka kwenye familia masikini ni waviziaji kuliko wale wezi wa roba ya mbao Tandale
 
Sio tu wanafaa kuwa wake/kuolewa, Wanafaa pia kuwa viongozi wa chama na serikali si wameshakua? Tuwapambania waingie kwenye uongozi wataleta mabadiliko makubwa sana.

🤡🤡
 
Hamna mke pale hata kuosha njugu zao hawajajua wataweza mikia ya wanaume wapi wale? Bado wananuka mikojo tu

Unataka nani akufundishie kuosha njugu zao?

Binti afundishwe na mtu mwingine aje akuheshimu wewe uliyemkuta mjuvi wa mambo?
 
Si ndo furaha yenu.Mnataka utandawazi uislam na sharia zake hamuutaki.mnalaumu nini?
 
Kwani unaoa kwa tamaa?
Hivi mnajua kinachozungumziwa hapa?

Hamna maadili wazee wazima mnawaza mapaja ya kuku na tamaa zenu za gongo

Waacheni watoto wacheze mjadili mambo ya maana sio kusakama vifaranga viteneegers hapa na mnajiita eti great thinkers labda sinkers sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…