Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Kwa hali ilivyo, hawa mpaka wafikishe hiyo miaka 25, muoaji (hasa church boy) kazi atakuwa nayo.
Church boy anaeza fika mahali akaomba yeye msaada kwa gwajima so mchezo akijifanya mtata ataishia kupiga gun ya kichwa mwishow church boy ataozea jela
 
Lakini kwa case nyingi wanawake kuwa single mothers ni kosa la nani?
 

😂😂😂 mzee umekulia wap?.

I know a lot of girls ambao wameolewa miaka 25+ onwards and they made and make a good wife.

Mazingira yana matters sana mzee.
 
hahahahaha, vihindi viteke hivyo ,chuchu konzi, ukisia binti kigori ndio hao sasa, mkisubiri wafike 25 hamtoamini ( kwanza anaeza akawa tayari singo maza umri huo)
 

Kwamba ukimuoa ndio kila kitu kinasimama?

Ndoa sio gereza la ndoto.
Ndio maana hata serikali sasa hivi binti akibeba mimba anaenda kujifungua kisha anaendelea na shule. Huu ni ulimwengu wa nuru. Mawazo ya giza tunayafuta.

Zamani watu walioa mpaka mimba. Wewe unazungumzia mtu mwenye miaka 18?
 
Kwa wazazi wapi hao wa sasa hivi?
Hawa ambaye hataki mtoto wake asiguswe hata kama amekosea?
Hawa wazazi ambao wanajua binti zao wana simu ,nguo ambazo hawajawanunulia na hawawaulizi walipo zitoa?
Wazazi hawa ambao wanashilikiana na mabinti zao kuwachuna wanaume?
Wazazi ambao unakuta binti wa miaka 15 hajui kupika na kufua?
 
Unajua nini?

Wiki hii kuna dogo amemaliza chuo wakiume mama yake ni jirani yangu kama ya rafiki though.

Sasa dogo anasema kuna binti ni mkristo kampatia ujauzito na anataka amzalie…. Nikamuuliza umeenda kujitambulisha kwao akasema hajaenda kwakua bado anategemea mama yake ambaye amezaa na wanaume wa 3 tofauti bado yupo na mwanaume wa 4 ambaye ni baba wa jambo kwa huyu dogo.

Sasa majuzi katoka msikitini kapitia akawa analalamika binti katoa ujauzito!!!!!!!!

Nikamuuliza wewe unaweza kulea anasema kwa Rehema za Allah atamlisha muda huo anategemea mama yake aende kazini ndio ale na anataka alete mjukuu.

Nilimwambia hujitambui huyo binti yupo sahihi…… yaani nilimuuliza Unajua gharama za uzazi, mtoto, chakula na kodi alibaki kaduwaa ila nilitamani nimtandike.
 
😂😂😂 mzee umekulia wap?.

I know a lot of girls ambao wameolewa miaka 25+ onwards and they made and make a good wife.

Mazingira yana matters sana mzee.

Kama umefika chuo kikuu. Angalia waliolewa ni wangapi na ambao hawajaolewa ni wangapi?

Mimi ninamiaka 10 tangu nimemaliza chuo kikuu. Nusu ya wanawake ambao wamemaliza chuo pamoja na mimi hawajaolewa. Na wamekata tamaa.

Nusu iliyobakia ndio wapo walioolewa kwa harusi na baadhi yao wanaishi sogea tukae.
 
Hiyo sio sababu ya wewe kutojua mienendo ya wanao, umri wa kuchukua mtoto upo na bado unakuwa haujachelewa sana! Hivyo visingizio tu kama una nia wala hiyo sio kitu!
Sasa mtoto na mama yake yuko dar mm niko shinyanga huo uangalizi nitaufanya saa ngapi?
 
Ukianza kuchagua wazazi wabaya kurepresent wazazi wote hata zamani walikuwepo tena wengi tu. Sawa na uanze kuchagua wazazi waliokuwa wanakeketa mabinti zao, waliokuwa wanaozesha mabinti zao katika umri mdogo nk kurepresent wazazi wote wa zamani

Unatakiwa uelewe hilo, huwezi ukachagua mifano mibaya kurepresent kundi zima la watu, na mwisho wa siku utakuja kugundua hao wazazi wabaya unaowasemea ni minority
 
Hii nchi ni kama kila mtu amerugwa sasa na GenZ ndio wamevurugwa zaidi.
 
Wacha kuwasemea usiowajua, hao watoto sio wabichi kama unavyotaka kutuaminisha.

Ukiona mtoto wa kike ameishiwa aibu ujue huyo ame-graduate michezo michafu aliyokuwa akiifanya akiwa shuleni.

Wakati watoto wenye maadili wakiwa darasani wanasoma, hao micharuko unaowatetea hapa walikuwa wanakwepa vipindi wanaenda kuliwa na boda na makonda mitaani.

Wameshazoea hiyo michezo ndio maana sasa wanajiona wazoefu wanaowaasa wanawake wenzao wakae vizuri na waume zao.

Hiyo ni kwasababu vinajijua vinawamudu wanaume wote tayari vina experience vilivyoipata vikiwa shule.

Hivyo vitoto ndio huwa vinaandika matusi kwenye karatasi za majibu ya mitihani ya taifa, kisha tunaulizana ni wakina nani hao!.

Hakuna mwanamke wa kuoa hapo, ukijaribu ujue kabisa jiandae kupambana na hali yako.
 
Well said huyu unatakiwa uchukue mdhibiti atulie home.

Fimbo za kutosha na Sheria Kali atanyooka tu hakuna kutoka ndani mpaka azae watoto 2 baada ya hapo muache Sasa adange Kama ataweza

Huu utakuwa uonevu.
Nazungumzia mahusiano na saikolojia.

Binti wa miaka 17 aliyemaliza kidato cha nne au aliyekidato cha nne.
Tayari kihisia anataka au kutamani kuwa na mpenzi. Umri huu unaweza kutumika kufanya courtship ambayo inaweza kwenda miaka miwili mpaka mitatu wengine mitano.

Hapo atakuwa amemaliza shule au ndio yupo chuo kama aliendelea.
Unaweka ndani.

Wahindi na waarabu wanafanya hivi. Na inafanya kazi.

Wazungu wengi wenye miaka 16-19 wanawachumba na wengine wameolewa. Hapa ndio wakati wa true love.
 

kupata mimba na kuolewa ni vitu viwili tofauti.

Pia haujanijibu.
Ngoja niliweke hivi kuwa.
Je? Ww mwanao nikija kumtolea posa akiwa amemaliza form four au akiwa na miaka 15 unanikubalia?.

Mm nadhan tumekulia mazingira tofauti.
Ndio maana tunakinzana.

Tuwape watoto wa kike haki ya kusoma.
Hizi zama sio zile za mabibi zetu.
Hatuoi ili mwanamke aende kuwa kijakazi.

Ni zaid ya hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…