Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Nitaanza kwa kumuhoji mtoa mada kwa nini anafikiri mdahalo kwa kupitia lugha isiyo mantiki wala uwiano wa kihesabu katika sheria za nomino kama Kiingereza unafaa zaidi kuliko katika lugha yenye kueleweka na wengi, iliyo na urahisi wa kueleweka na mantiki lukuki kama Kiswahili?
Zaidi ya hayo, unachotaka kufanya ni nini? Kama unataka kufanya watu wacheze kama wanasesere ili wengine wacheke mie sio kazi yangu na wala ngoma hizo siwezi.
Kama kuna kingine cha ziada tuambizane.
The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave wanton for respect of individuals- at humorous serendipitous eccentricities of Piddletrenthide proportions.
Permit me to gladly grab my sootless sticks out of the hazily hued humidor and evade eerie effable ephemeral enchantments with enviable equanimity while embarking from this putrid pungent pugilists pantomime, to a somber soliloquy of solitary sanity.
Wewe uliyeanzisha thread kwa kutumia jina langu ni mpuuzi, mjinga na punguwani. Una mawazo mgando yaliyochanganyika na chembechembe za uwendawazimu. Ni kinara wa wodi ya vichaa ya hospitali ya Mirembe na hustahili kukabidhiwa kutunza hata kijiko kwasababu utakitafuna.
Acha kukurupuka dogo...fuatililia post zake uzisome uone kama utaelewa kitu!!!!ilooooooo limeogopa.
Acha kukurupuka dogo...fuatililia post zake uzisome uone kama utaelewa kitu!!!!
...Yaani kustudy kote kule ..nimetoka kapa......Ila Mwita25 kama vipi omba msaada hata FF?
They Still Taking gongo in order to remove shy.
Ushasema mwenzie hakushiri, sasa itakuwaje tena "Kiranga prevailed"?Mechi kakimbia, si knock out kwasababu hakushiriki, thats the only we can cut him some slack!
Kiranga prevailed, there's no doubt on that...
Ukiongea kizigua cha babaako na kidengeleko cha maamako na Kiswahili ulichokulia unaongea na kizungu cha kujifunza shule hizo ni lugha nne, hiyo inakufanya "genius"?Kiranga is a genius kama ni kweli anazungumza lugha takriban nne(stand to be corrected by him/her), pamoja na uelewa wake kwenye science( this i have somewhat proved),
unajuaje ni mwanachi wa kawaida"?lakini shangaa tuna viongozi vilaza na huyu mtu ndie mwananchi wa kawaida...
Au yeye ndio haji utilize kwa nchi yake? Wafanyeje, wamfate nyumbani wamteue Waziri wa lugha nne?Tanzania hawajui kabisa ku utilize vipaji vya wananchi wake ndo maana linchi ni masikini na litaendelea kuwa hivyo!
Hapa sikuelewe Jmushi1...inamaana mtu kufahamu lugha nyingi na kuongea bombastics ndio kigezo cha kuwa kiongozi mzuri?Mwita hawezi kuja tena, umeona alivyo panic na kuvurumusha matusi?
Mechi kakimbia, si knock out kwasababu hakushiriki, thats the only we can cut him some slack!
Kiranga prevailed, there's no doubt on that...
Ofcourse bombastics za hawa watu ni tofauti, hii ni kutokana na experience yangu binafsi humu.
Kiranga is a genius kama ni kweli anazungumza lugha takriban nne(stand to be corrected by him/her), pamoja na uelewa wake kwenye science( this i have somewhat proved), lakini shangaa tuna viongozi vilaza na huyu mtu ndie mwananchi wa kawaida...
Tanzania hawajui kabisa ku utilize vipaji vya wananchi wake ndo maana linchi ni masikini na litaendelea kuwa hivyo!
Acha kukurupuka dogo...fuatililia post zake uzisome uone kama utaelewa kitu!!!!
aiseeeee.......hihihihihihihi hizi lugha zinatutia njaa aiseeeThe sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave wanton for respect of individuals- at humorous serendipitous eccentricities of Piddletrenthide proportions.
Hii nimeiweka kwenye facebook status yangu ili members wanisaidie kutranslate maana nimeona dictionary zote nilizonazo hazisaidii...
Permit me to gladly grab my sootless sticks out of the hazily hued humidor and evade eerie effable ephemeral enchantments with enviable equanimity while embarking from this putrid pungent pugilists pantomime, to a somber soliloquy of solitary sanity.
The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave wanton for respect of individuals- at humorous serendipitous eccentricities of Piddletrenthide proportions.