MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
- Thread starter
-
- #61
Baba usifanya mchezo na chuma....nakupa ushauri wa bure hata kama upo fit kiasi gan mtu akikutolea chuma wewe jifanye mjinga.Bonge la uzi, safi bro...tufanye mazoezi wandugu, last week kuna jamaa mmoja kapigwa kifala na jamaa aliyeshika bastora!...
Make sure una balance na miguu usije ukawa funguo.Wanyanyua vitu vizito tujuane hap
Shida niki3nda bar kucheki mpira wanatoa soda , na nikichujua maji naona kama nimeharibu hela yangu tu😁Soda ni hatari sana kwa afya zetu ni vile madhara yake huchelewa sana kuonekana.
Ukitaka kuacha soda tumia mbinu hii ukiona kiu kimekubana tumia maji.
Maji maji maji.Shida niki3nda bar kucheki mpira wanatoa soda , na nikichujua maji naona kama nimeharibu hela yangu tu😁
Kaka kwa nyie watu warefu mnachelewa sana kujaa kwa mazoezi ya gym ila mkijaa huwa mnakuwa vipande vya watu.....hapo ili upunguze kalio anza kubeba weight.Mkuu Nina 25 years, ulefu 6.7 ft Nina kilo 85
Natamani Sana kuwa kipande cha MTU kwakuwa tayari Nina advantage ya urefu Ila tatizo nataka kupunguza makalio Haya Mimi ni me. Naomba tips konki
Safi sana kaka kwa kupenda mazoezi hii maana yake unajua umuhimu wa mazoezi.tips zitaendelea siku na siku maana hapa tutakuwa tunajadili mazoez na aina gani ya vyakula inatupasa kula.Napenda sana mazoezi.
Weka tips za kutosha mkuu.
Ingawa zoezi langu kuu ni kutembea kikakamavu kwa miguu.
Kuna kitu kimenifanya nianze kwenda gym. Naomba muongozo wa fullbody fitness kwa gym maana nawaona mabaunsa wengi miguu midogo sana. Mwili hauna uwiiano. Nataka kamwili kadogodogo kama brucelee. Sisi watumishi hatutakiwi kuwa na vitambi.
Tupia madini tutatii.
Hali hii huitwa:Wakufunzi wengi gym zetu za mtaani hawana mambo wengi shule walifeli
Sikia wewe ona utakavyo ujaitwa hapa
Nitàanza kunywa biaMaji maji maji.
Kaka soda waachie watoto.
Ratiba fixed changamoto kwa kweli..Jitahid uwe na ratiba fixed master ....mazoezi hayataki upate muda inabid yawe maisha yako.
Bora hiyo kwa mbaaali.Nitàanza kunywa bia
Naelewa ila ukiona unaumia kukosa kuda wa kupata mazoezi upo right track.Ratiba fixed changamoto kwa kweli..
Mkuu usinmbie unatamani upungue mpaka 60kg huko mbali sana watu watajua una ngwengwe.....mimi nina 78kg namaintain hapahapa.Sie wenye miaka 46 vitambi na uzito Kg 95 tunapunguzaje at least tuwe flat Kg 60±
nimeanza kupenda mzoezi ya gym nikiwa form 3 (2013)
Binafsi sio mkufunzi
Samahani, hivi ulitumia kitu hiki wakati unaandika??ninayajua mazoezi kuliko hata hawa wanaojiita ma-trainer
Sawa sawa legendKichwa cha habari kilifaa kiwe na lugha moja