JamiiForums inafahamuje ikitokea mwanajukwaa amefariki na kumuwekea RIP?

naomba nichangie kidogo upande wa taasisi za fedha ni kuwa kwakuwa taasisi imesajiriwa ndani ya nchi husika basi pamoja na sera ya kampuni pia itatekeleza sheria za nchi,mfano kwa Tanzania mhusika anapofariki pesa yake kama ipo benki haiwezi kugawiwa kiholela kwani lazima taratibu za mirathi zifanyike ili kuweza kuwatambua warithi ambao ndio watakuwa wanufaika kupitia msimamizi wa mirathi ambaye wanamteua wenyewe na anathibitishwa na mahakama,ni hayo tu!
 
Kwa mfano, ikatokea mtu ameweka milioni 10 benki alafu hakuna anayejua kama ana hiyo pesa kwenye akaunti yake wala yeyote yule anayejua namba za siri, je hapo wanafamilia watafahamu vipi kuhusu hizo pesa si ndiyo zitakuwa zimepotea hivyo?
 
Asante mkuu, hakika umenifunza jambo jema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…