JamiiForums tegemeeni tamko kutoka kwa Makonda muda sio mrefu.

Ukiandika mada ya kukosoa serikali, JF chap wanaifuta.
Sasa najiuliza, nyie mmefungiwa, Sasa Kwann mnafuta Mada wakati mmezuiwa kuendesha huduma zenu?

Makonda njoo upigilie msumari WA moto mana viongozi wa JF nao hawajitambui.
 
Hawa moderators sijui wana shida gani?
Wao wanafyeka nyuzi za kumkosoa mkandamizaji wao
Ngoja Bashite aje avae office zao na SMG
 
Huyo mjuba asije akaifungia jf yetu, atadumaza fikra zetu katika kutanua wigo kwenye sekta ya habari na mawasiliano. Huu si wakati wa kufungia mitandao hovyo hovyo. Huko ni kufubaza akili za wananchi katika kuvumbua fursa za uchumi wa kidijitali. Mzuka wake wa kindezi uishie mbali
 
Ana mambo ya hovyo sana.
 
Ukiandika mada ya kukosoa serikali, JF chap wanaifuta.
Sasa najiuliza, nyie mmefungiwa, Sasa Kwann mnafuta Mada wakati mmezuiwa kuendesha huduma zenu?

Makonda njoo upigilie msumari WA moto mana viongozi wa JF nao hawajitambui.
Ofisi zao zipo tanzania na ndugu zao sio VPN wao.
 
Back
Top Bottom