Na wote tuseme AMEEN!Jamaa nuksi kabisa, natabiria hatodumu ktk iyo nafasi, na atamuaribia zaidi aliyemteua
Sasa kama watumiaji wa nje na haipatikani Tanzania inawahusu nini?Kwani JF ina watumiaji kutoka TZ pekee?
Kama walifungiwa kwa kupost habari za Polepole zilizotolewa youtube.Ukiandika mada ya kukosoa serikali, JF chap wanaifuta.
Sasa najiuliza, nyie mmefungiwa, Sasa Kwann mnafuta Mada wakati mmezuiwa kuendesha huduma zenu?
Makonda njoo upigilie msumari WA moto mana viongozi wa JF nao hawajitambui.
Ukaribu wake na Samia hakumpi madaraka ya kutunga sheria ,hilo ni jukumu la bunge!!! Vyombo vya habari vinavyojiamini haviwezi kubabaishwa na kiongozi tapeli!!!Ni suala la muda tu , makonda anakuja kutoa tamko kuhusu jamiiforums.
Tutegemee zaidi uhuru wa habari ukiminywa chini ya uongozi wake.
Na hii ni ajabu, maana wasomaji wengi kwa sasa ni wa huku njeUkiandika mada ya kukosoa serikali, JF chap wanaifuta.
Sasa najiuliza, nyie mmefungiwa, Sasa Kwann mnafuta Mada wakati mmezuiwa kuendesha huduma zenu?
Makonda njoo upigilie msumari WA moto mana viongozi wa JF nao hawajitambui.
😅😬😁😁😁😁😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama walifungiwa kwa kupost habari za Polepole zilizotolewa youtube.
Lazima waogope.
Serekali ni kama mtu aliejikwaa kidole cha mwisho kwenye kona ya kitanda ila anajikaza kulia.
Mtu huyu anaweza kurudi nyumbani akamkuta mkewe kachelewa kupika akaanza kulia
Wakivamia itakuwa hatari mpaka kwetu Mkuu.Hawa moderators sijui wana shida gani?
Wao wanafyeka nyuzi za kumkosoa mkandamizaji wao
Ngoja Bashite aje avae office zao na SMG
Nashangaa, maana jf tanzania haipatikan tunaona sisi tu tuliopo ughaibuniUkiandika mada ya kukosoa serikali, JF chap wanaifuta.
Sasa najiuliza, nyie mmefungiwa, Sasa Kwann mnafuta Mada wakati mmezuiwa kuendesha huduma zenu?
Makonda njoo upigilie msumari WA moto mana viongozi wa JF nao hawajitambui.
Hivi Clouds Media alimalizana nao vizuri?Ni suala la muda tu , makonda anakuja kutoa tamko kuhusu jamiiforums.
Tutegemee zaidi uhuru wa habari ukiminywa chini ya uongozi wake.
Hivi comrade_kipepe ulifanikiwa kuruka?Nashangaa, maana jf tanzania haipatikan tunaona sisi tu tuliopo ughaibuni
Ni story ndefu sana siku nikipata mda nitaielezeaHivi comrade_kipepe ulifanikiwa kuruka?
JF haipo TZ labda akatolee tamko KenyaNi suala la muda tu , makonda anakuja kutoa tamko kuhusu jamiiforums.
Tutegemee zaidi uhuru wa habari ukiminywa chini ya uongozi wake.
Ishu n hvKama walifungiwa kwa kupost habari za Polepole zilizotolewa youtube.
Lazima waogope.
Serekali ni kama mtu aliejikwaa kidole cha mwisho kwenye kona ya kitanda ila anajikaza kulia.
Mtu huyu anaweza kurudi nyumbani akamkuta mkewe kachelewa kupika akaanza kulia
Hivi Clouds Media alimalizana nao vizuri?
Acha lije kwa ni unyakuo ulio harakishwa unapendeza zaidi!Ni suala la muda tu , makonda anakuja kutoa tamko kuhusu jamiiforums.
Tutegemee zaidi uhuru wa habari ukiminywa chini ya uongozi wake.
Tutajua tu asiyejitambua zaidi ya mwenzakeUkiandika mada ya kukosoa serikali, JF chap wanaifuta.
Sasa najiuliza, nyie mmefungiwa, Sasa Kwann mnafuta Mada wakati mmezuiwa kuendesha huduma zenu?
Makonda njoo upigilie msumari WA moto mana viongozi wa JF nao hawajitambui.