JamiiForums tegemeeni tamko kutoka kwa Makonda muda sio mrefu.

Makonda uwezo na kipaji Cha uongozi anacho..chamsingi asiwababue wakosoaji wake..bali ajikite kwenye kuboresha mahsiano na wananchi...kufukia mashimo yote yaliyoachwa
 
Ukiandika mada ya kukosoa serikali, JF chap wanaifuta.
Sasa najiuliza, nyie mmefungiwa, Sasa Kwann mnafuta Mada wakati mmezuiwa kuendesha huduma zenu?

Makonda njoo upigilie msumari WA moto mana viongozi wa JF nao hawajitambui.
Kama walifungiwa kwa kupost habari za Polepole zilizotolewa youtube.

Lazima waogope.

Serekali ni kama mtu aliejikwaa kidole cha mwisho kwenye kona ya kitanda ila anajikaza kulia.

Mtu huyu anaweza kurudi nyumbani akamkuta mkewe kachelewa kupika akaanza kulia
 
Na hii ni ajabu, maana wasomaji wengi kwa sasa ni wa huku nje
 
Kama walifungiwa kwa kupost habari za Polepole zilizotolewa youtube.

Lazima waogope.

Serekali ni kama mtu aliejikwaa kidole cha mwisho kwenye kona ya kitanda ila anajikaza kulia.

Mtu huyu anaweza kurudi nyumbani akamkuta mkewe kachelewa kupika akaanza kulia
😅😬😁😁😁😁😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hawa moderators sijui wana shida gani?
Wao wanafyeka nyuzi za kumkosoa mkandamizaji wao
Ngoja Bashite aje avae office zao na SMG
Wakivamia itakuwa hatari mpaka kwetu Mkuu.
Hivi bado hawajahamisha makazi tu?
 
Ukiandika mada ya kukosoa serikali, JF chap wanaifuta.
Sasa najiuliza, nyie mmefungiwa, Sasa Kwann mnafuta Mada wakati mmezuiwa kuendesha huduma zenu?

Makonda njoo upigilie msumari WA moto mana viongozi wa JF nao hawajitambui.
Nashangaa, maana jf tanzania haipatikan tunaona sisi tu tuliopo ughaibuni
 
Kama walifungiwa kwa kupost habari za Polepole zilizotolewa youtube.

Lazima waogope.

Serekali ni kama mtu aliejikwaa kidole cha mwisho kwenye kona ya kitanda ila anajikaza kulia.

Mtu huyu anaweza kurudi nyumbani akamkuta mkewe kachelewa kupika akaanza kulia
Ishu n hv

Umenyiwa access ya kuendesha JF hvy utaiacha JF ijiendee Bila kuiingilia mana umenyimwa access ya kui-control mana mwisho wa siku nao viongozi wa JF wataonekana wanatumia VPN hvy bado wanaendelea kuihudumia JF kama kawaida hvy ban inakosa maana.

N Sawa na ww umeibiwa simu afu hapo hapo unaendelea kuitumia hy hy simu, Sasa hapo maana ya kuibiwa simu ni ipi?
 
Ukiandika mada ya kukosoa serikali, JF chap wanaifuta.
Sasa najiuliza, nyie mmefungiwa, Sasa Kwann mnafuta Mada wakati mmezuiwa kuendesha huduma zenu?

Makonda njoo upigilie msumari WA moto mana viongozi wa JF nao hawajitambui.
Tutajua tu asiyejitambua zaidi ya mwenzake
 
Back
Top Bottom