Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Naye ataminywaNi suala la muda tu , makonda anakuja kutoa tamko kuhusu jamiiforums.
Tutegemee zaidi uhuru wa habari ukiminywa chini ya uongozi wake.
Kwani JF ina watumiaji kutoka TZ pekee?Ukiandika mada ya kukosoa serikali, JF chap wanaifuta.
Sasa najiuliza, nyie mmefungiwa, Sasa Kwann mnafuta Mada wakati mmezuiwa kuendesha huduma zenu?
Makonda njoo upigilie msumari WA moto mana viongozi wa JF nao hawajitambui.
Hawa moderators sijui wana shida gani?Ukiandika mada ya kukosoa serikali, JF chap wanaifuta.
Sasa najiuliza, nyie mmefungiwa, Sasa Kwann mnafuta Mada wakati mmezuiwa kuendesha huduma zenu?
Makonda njoo upigilie msumari WA moto mana viongozi wa JF nao hawajitambui.
Hili halina ubishiNi suala la muda tu , makonda anakuja kutoa tamko kuhusu jamiiforums.
Tutegemee zaidi uhuru wa habari ukiminywa chini ya uongozi wake.
Jamaa nuksi kabisa, natabiria hatodumu ktk iyo nafasi, na atamuaribia zaidi aliyemteuaNi suala la muda tu , makonda anakuja kutoa tamko kuhusu jamiiforums.
Tutegemee zaidi uhuru wa habari ukiminywa chini ya uongozi wake.
Ana mambo ya hovyo sana.Huyo mjuba asije akaifungia jf yetu, atadumaza fikra zetu katika kutanua wigo kwenye sekta ya habari na mawasiliano. Huu si wakati wa kufungia mitandao hovyo hovyo. Huko ni kufubaza akili za wananchi katika kuvumbua fursa za uchumi wa kidijitali. Mzuka wake wa kindezi uishie mbali
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu promote wa shwaziniga alisema kila kituo cha polisi Arusha kitafungwa CCTV ni bingwa wa owongo.
Ofisi zao zipo tanzania na ndugu zao sio VPN wao.Ukiandika mada ya kukosoa serikali, JF chap wanaifuta.
Sasa najiuliza, nyie mmefungiwa, Sasa Kwann mnafuta Mada wakati mmezuiwa kuendesha huduma zenu?
Makonda njoo upigilie msumari WA moto mana viongozi wa JF nao hawajitambui.
Umeelewa nilichoandika?Ofisi zao zipo tanzania na ndugu zao sio VPN wao.
Akili ndo zitawakaa vzrHawa moderators sijui wana shida gani?
Wao wanafyeka nyuzi za kumkosoa mkandamizaji wao
Ngoja Bashite aje avae office zao na SMG
Sijazungumzia watumiajiKwani JF ina watumiaji kutoka TZ pekee?