JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi

Waoga wa kuwa verified ni wale waliozea kutukana mitandaoni, matapeli,wezi na malaya.
Kwhy bwashemeji mbona sioni alama ya verified kwako hapo...

Halafu hiyo Ni option mkuu ataye na afanye ...toka lini mtawala wa Afrika akapenda kukosolewa!!!

Kama mtu anakamatwa kwa sababu ya kuvaa litisheti ambalo ht halina effects kwa maisha ya maskini...
Kuna faida kubwa tunazozipata kupitia anonymous code ...

Wenye matusi Humu wanachukuliwa hatua ..kwhy usilete hoja nyepesi za kihafidhina...
 
Nina changamoto. Niliwahi kusahau password nikafungua id yenye majina yangu ya kweli ila mimi nataka kuverify id hii.

At the same time sitaki hii id iungwe na ile nyingine.

Hapo inakuaje mkuu?

Maxence Melo
 

Tatizo unawaza vitu negative tu kama matusi na ushamba, fikiria kuhusu 'nyeti' za kiserikali au hata waajiri wetu tunazozishusha humu ukiwa verified utawezana?
 
Niko kwenye process Mkuu.

Ww ni muoga tu kama waoga wengine, Kama unajua haki zako kwann uogope? Kama unaweza kumkosoa mtu bila kumvunjia heshima kwann uogope?
 
Tatizo unawaza vitu negative tu kama matusi na ushamba, fikiria kuhusu 'nyeti' za kiserikali au hata waajiri wetu tunazozishusha humu….. ukiwa verified utawezana?
Ndo ujue kuwa sio kila kitu cha kukiweka mitandaoni.

Taarifa binafsi za ofisini unaziweka public ili iweje?

Hata kama kuna tatizo bado hailalishi ww kuweka siri za ofisi yako public kwa minaajili ya kupata msaada.
 
Ndo ujue kuwa sio kila kitu cha kukiweka mitandaoni.
Taarifa binafsi za ofisini unaziweka public ili iweje?
Hata kama kuna tatizo bado hailalishi ww kuweka siri za ofisi yako public kwa minaajili ya kupata msaada.

Tumekuwa tukifanya hivyo, na mambo mengi yameleta matokeo chanya….. kujuana sana kuishie makundi ya wasapu tu.
 
Mimi ni verified lakini naona sina hy blue tick, ila ukweli ni kwamba hy blue tick ni kubwa mno na ina muonekano mbaya
 
Mm ndie verified pekee JF ambaye sina hy blue tick yenu yenye muonekano mbaya 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…