JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi

JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi

Tuendelee kuchukua tahadhari korona inaua haswa kwa wale wenye magonjwa kama vile;
1. KISUKARI
2. PRESHA
3. UKIMWI
4. SARATANI
5. TB.
6. UGONJWA WA MOYO
 
Ni hiari sawa ila chondechonde mkuu melo usije ukatubadilikia uko mbeleni ukaja sema ni lazima........Nakuomba sana Maxence Melo please usitufikishe uko
 
Tuendelee kuchukua tahadhari korona inaua haswa kwa wale wenye magonjwa kama vile;
1. KISUKARI
2. PRESHA
3. UKIMWI
4. SARATANI
5. TB.
6. UGONJWA WA MOYO
Na umaskini pia umesahau
 
Ni hiari sawa ila chondechonde mkuu melo usije ukatubadilikia uko mbeleni ukaja sema ni lazima........Nakuomba sana Maxence Melo please usitufikishe uko

Kujuanajuana tutajuana kwa namba za simu tutakazopeana PM inatosha kufahamu mpaka sura.
Poleni sana.

Hakuna aliyewalazimisha. Hao unaoona wako Verified hawakombwa bali waliomba wenyewe.

Sisi tunaitikia hitaji lao kwa kuweka utaratibu rafiki. Tunatambua wapo wengi wasiotaka kuwa verified, nao ni haki yao!

Msitie shaka, unavyoamua kuwa JF ndivyo utavyohudumiwa
 
Back
Top Bottom