JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ka androd kenyewe kakupewa....wakijibinafsisha utasamehe kama ulivyosamehe waliomtaifisha huyo manzi wako
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ka androd kenyewe kakupewa....wakijibinafsisha utasamehe kama ulivyosamehe waliomtaifisha huyo manzi wako
Afu utaionaje sasa! Maana entertainment pekee niliyobakiza hapa duniani ni kukutana na watu kama ninyi baada ya saa sita usiku. Ninahakika wakinitongoa hiki kidude na mimi naripoti kwa baba.
 
Haya kaendelee kumlaghai kwa maneno yako matamu zaidi ya asali.

Mlale unono na kipenzi chako jje's....ila naomba leo uniote japo kidogo tu [emoji6] [emoji6]
jje's ananifaham vizuri hata nikisema uongo anikamata mapema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…